Wakuu naomba msaada wenu, ni Kamera aina ya canon 600D ina tatizo la kutosoma kadi ( Chip). Ukiiwasha inaonesha 'No Card in Camera'. Mwenye Ufunguzi wa Tatizo hili tafadhali anisaidie
Hapo tatizo linaweza kua ni either card reader unayotumia au hio memory card mimi niliwahi pata tatizo hilo kwenye canon 700D, ila nilipobadilisha memory card na card reader fresh mpaka sasa hivi