Tatizo la Bundle la Internent kuisha haraka

Mkuu naomba msaada zaid maana naona kama itanisimbua ivi vyote navyofanya ni bado yaani sijui nifanyaje apo

kaka umeshafanya iv rudisha feedback upate msaada zaidi

ingia kwenye app ya dropbox kisha click setting/preference halafu tafuta camera upload ieke off.
 
kama proceses ni ngumu kwako omba msaada pemben jiran akusaidie kufwata maelezo yaliyotolewa hapo juu: yaliyotolewa na Chief-Mkwawa, na snipa.

kwa njia rahis download and Install the
-"My Data Manager Free" app. or

- install the data monitoring app and let us know what app is using your data.
 
Last edited by a moderator:
kaka umeshafanya iv rudisha feedback upate msaada zaidi

ingia kwenye app ya dropbox kisha click setting/preference halafu tafuta camera upload ieke off.

Mkuu bado naendelea kucheza nayo kwanza sababu nikifika kwenye camera apload nikiclick ailet chochote sasa ndo nagusagusa kwanza nitaleta taarifa
 
Shukrani wadau mbalimbali l8le tatizo naona limeisha maana leo kutwa mzima nilikuwa naperuzi tu asanteni sana
 
Pia unapokuwa hutumii net unaweza kuzima sehemu ya data
 
dropbox ina maana inafanya backup ya media hasa hasa picha zako. unachotakiwa ni kueka off feature ya auto upload. ingia kwenye app ya dropbox kisha click setting/preference halafu tafuta camera upload ieke off
Habari mkuu nakutana nalo hili na nimezima app background kwa app zote ila ndani ha dk 20 sijatumia kitu chochote zimeenda kama MB 36 hivi natumia Tigo je kuna app ya kuzuia hili bila simu kuwa rooted?
 
Eka glasswire firewall ipo playstore haitazuia ila itakuambia ni app gani imekula hizo mb na hivyo kukupa pa kuanzia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…