Tatizo la browser kutoonesha button za Forward na Back

gashambala uwezo

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2014
Posts
485
Reaction score
67
computer yangu tangu leo imepoteza button ya back na forwad zile ambazo kukaa upande wa juu kushoto
hata rangi ya computer imepotea na kuwa nyeupe,

lakini ukitembeza mouse hizo button zimejificha kwa juu, na zinafanya kazi kama kawaida lakini ni za kutafuta
mpaka upoint kwa juu ndipo zinaonekana, sasa khali hii mimi inaniboa sana,

na khali hii hujitokeza pale ninapokuwa na tumia internet.

shida imeanza hivi;

nilikuwa na angalia taarifu fulani, , sasa nilipo taka kurudi nyuma nikakosa hiyo option ya back, na kumbuka ni kama vile nimebonyeza bonyeza esc,ctrl, na alt, ni kweli nimerudi nyuma lakini ndipo ikawa hivyo.

nisaidieni tafadhari.
 
Bonyeza f11
 
Back
Top Bottom