Habari zenu wakuu
Nina tumia laptop aina ya accer na natumia windows 7
Tatizo ni kwamba hivi karibuni imeanza kuleta tatizo pale baada ya kuiwasha na kuingiza password INA display black screen na cussor pointer inaonekanaa nyeupe , ukichezesha mouse ina move lakini huwez Fanya chochote maana screen ni nyeusi
Nilijaribu Ku Google solution lakini hazikusaidiaa Sana'a
Kwa anaefahamu permanent solution kwa tatizo hili naomba msaada wakuu...