Tatizo la battery samsung galaxy tab 10.1

IrDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2010
Posts
745
Reaction score
361
Habari wakuu,
Naombeni msaada tafadhali,tablet yangu ya samsung galaxy imepata tatizo la kuonyesha battery empty na kuingia katika power saving mode ambayo inaifanya screen brighteness iwe very low na hivyo nashindwa kuitumia kabisa.
Tatizo hili hujitokeza mara baada ya kuitumia kwa dakika chache,kwa kuangalia video au kusomea hata kama nilikuwa nimeicharge 100% basi inajirudisha mpaka 0%.
Naomba msaada kwa anayejua jinsi ya kutatua tatizo hili,au anayefahamu fundi yoyote anayeweza kunitengenezea.
Niko Daresalaam
 
kwanza jaribu re clibration. iache hadi izime kabisa then charge hadi 100%. toa kwenye power then itumie hadi izime . charge tena na urudie hiyo procedure kama mara tatu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom