Tatizo la ajira si walimu pekee, ni kada zote.
Ukidahili walimu wachache, hao wengine wataenda kada zingine, na watajaa kama walimu.
Suluhiso ni serikali kuangalia namna bora ya kuaaidia vijana wanaomaliza chuo kikuu waweze kujiajiri au kuajiriwa. Serikali ikuze sekta binafsi nk.
Unafikiri watu wajikite kwenye kozi zipi, waachane na ualimu?Mkuu,serikali ikicheza na figures sidhani kama tatizo litakua kubwa namna hio..almost 90%??? hapana,this is cheating...….....
I agree with you kwenye serikali kuandaa vijana kujiajiri na kuajiriwa..thanks.
Umeandika kivivu ati vigezo vya ualimu Ni vidogo kwahiyo hata wa diploma,degree não Ni vigezo kidogo? Acha zako
Tatizo serikali haina uwezo wa kuajiri mbona miaka ya nyuma wote waliajiriwa?
Kamati ya bunge ilisema shule za msingi Zina uhaba wa waalimu 123000 secondary 86000 Sasa unaaemaje kuwa Hakuna uhitaji wa waalimu?
Sema serikali haina pesa kuwaajiri
Unafikiri watu wajikite kwenye kozi zipi, waachane na ualimu?
Watumishi wa serikali hawafiki milioni 1.
Tupo milioni.....
Uki-control udahili wa walimu je hao walioachwa na vigezo vya udahili si wanaenda kuwa Jobless pia.
Ajira ni tatizo la dunia....ukija kwa sera zetu kuanzia mfumo wa elimu wa hapa kwetu ndiyo kabisaaa...unashindwa uanzie wapi kulijadili. Nadhani hata watunga sera huwa wanachanganyikiwa pia maana nao wameandaliwa na mfumo huo huo.
ujobless uko kila mahali ila kusomesha watu wengi wakati una uhakika hutawapa ajira..this is cheating,kwanza hio hela/gharama kubwa ya kuwafundisha ingekua invested somewhere else ingeweza kucreate jobs somewhere else....sijakataa watu wasiwe walimu ila kwa kweli ukiangalia figures za walimu ambao wamekosa kazi,its heartbreaking….
Elimu sio kwa ajira tu.
Suala la kuwasomesha walimu ni mtambuka.
Navyoelewa mfumo wa HESLB.
Wanatoa mikopo kwa vigezo vikubwa Uwezo wa kiuchumi wa mwanafunzi, course na ufaulu wake.
Kozi za ualimu ziliwekwa kama kigezo cha kupata mkopo kwasababu ya uhaba wa walimu. Ila kwasasa huu utaratibu wa kumpa kila mwalimu mkopo umepungua...aidha ukidhi vingine ndiyo unapata.
Ajira haipo kwa kada zote...sema walimu ni wengi kutokana na mfumo uliyowekwa hapo mwanzo.
Ajira ni tatizo.
Solution ni Serikali inabidi iwekeze sana kwenye elimu ya Ujasiriamali mashuleni pamoja na mavyouni vilevile Serikali inabidi iwekeze hela nyingi kwenye Miradi ya Kifedha itakayokuwa inawapatia watu mitaji bila ya Riba na Masharti Magumu
Lakini tukiendelea na mfumo huu wa elimu ni shida siku hizi wanaituhuzia Underwear, leso, Boxer, soxi, mahindi ya kuchoma, karanga na machungwa ni MaGraduate
Yaani kuanzia mwaka 2015 direct employment za Walimu serikalini ilianza kutetema mwaka 2017 ikaja OTEAS kwa nafasi finyu sana kisha 2019 OTEAS imerudi kuchukua wengine tena kwa ufinyu Bora Enzi za Kikwete alijitahidi sana kutoa ajira lakini Awamu hii hela imeelekezwa kwenye Ndege, Miundombinu na kununua wapinzani, kufanya uchaguzi basi ajira sio kipaumbele tenaUko sahihi mkuu...lazima kitu kifanyike...kubadiisha hii hali,otherwise tusitegemee embe chini ya mnazi...miaka mitano baaadae sipati picha walimu wasiokua na ajira watakua wamefikia wangapi...kama hili tatizo halitakua fixed.
Yaani kuanzia mwaka 2015 direct employment za Walimu serikalini ilianza kutetema mwaka 2017 ikaja OTEAS kwa nafasi finyu sana kisha 2019 OTEAS imerudi kuchukua wengine tena kwa ufinyu Bora Enzi za Kikwete alijitahidi sana kutoa ajira lakini Awamu hii hela imeelekezwa kwenye Ndege, Miundombinu na kununua wapinzani, kufanya uchaguzi basi ajira sio kipaumbele tena
Usiache mbachao kwa msala upitao!!!!
Kwa ufupi...kulikuwa na uhaba wa walimu baada ya shule za kata.hili swala silijui kwa undani..hapo nilipobold,mfumo ulikuwaje mpaka ukazalisha walimu wote hawa?
Kwa ufupi...kulikuwa na uhaba wa walimu baada ya shule za kata.
Njia ilikuwa wapatikane kwa namna yoyote.
Ukiachana na walimu wa kupigwa msasa kwa miezi kadhaa kipindi cha awamu ya kwanza ya JK.
Utaratibu ukawa...vyuo viongeze udahili wa course za ualimu na board ya mikopo iwape kipaumbele wanaoenda kusoma ualimu.
Nani asiyependa mkopo aslimia 100?
Vyuo binafsi navyo vinahitaji pesa...ni mmiliki gani wa chuo asiyehitaji wanafunzi wanaolipiwa ada asilimia zote na serikali? Wakaongeza courses za education.
Lingine ikawa ukimaliza chuo kwa shahada ya elimu unapangiwa moja kwa moja..hivyo ikawa ukidahiliwa ualimu unaajira yako moja kwa moja.
Mwishowe asilimia nyingi ya wanafunzi ikachagua ualimu.
ujobless uko kila mahali ila kusomesha watu wengi wakati una uhakika hutawapa ajira..this is cheating,kwanza hio hela/gharama kubwa ya kuwafundisha ingekua invested somewhere else ingeweza kucreate jobs somewhere else....sijakataa watu wasiwe walimu ila kwa kweli ukiangalia figures za walimu ambao wamekosa kazi,its heartbreaking….