Tatizo la acid reflux

Tatizo la acid reflux

homeboy41

Member
Joined
Oct 20, 2020
Posts
23
Reaction score
30
Habari za Leo wakuu.

Mimi ninasumbuliwa na acid reflux yaani mapigo ya moyo yanaenda Kasi Sana afu tumbo kujaa gesi kiungulia Kwa Sana afu unakuta Koo linakuwa la moto Sana unajikuta unakunywa maji Sana afu ata nguvu za kiume zinakosekana pia chini ya uti wa mgongo karibia na kiuno kunawaka moto Sana Sana asee..

Nimetumia dawa nyingi sana za hospital lakini hakuna mafanikio.

Naomba mnielekeze ata za kienyeji Ili nazo nijaribunndugu yenu.

Naombeni mnisaidie asee nateseka mwenzenu wakuu

Natanguliza shukrani zangu za dhati
 
Mimi sio daktari ila nahisi naweza kukusaidia ila kwanza jibu haya maswali kwa ufasaha halafu nitakuambia ufanye nini, hapo utatumia dawa mpk ukome kumbe shida ni life style!.

kwa siku unakula milo mingapi..?
kazi unayofanya ni ya ofisini tu ama jasho lakutoka..?
una kilo ngapi na urefu wako ni kiasi gani..?
jibu hayo maswali kwa ufasaha.
 
Kunywa KONYAGI
 
Kwa siku nakula Milo 3 chai cha mchana na dinner usiku
Nna kio 75
Urefu wangu futi 5.5
 
fanya hivi punguza kilo zako walau zigotee 70.
katika hiyo milo toa mlo mmoja zaidi wa mchana na pia zingatia kutokula vyakula vingi vya wanga vilevile kula kwa kiasi, epuka vyakula vya gesi sana japo hili la vyakula vya gesi ni la muda tu ukikaa sawa utakula vizuri tu!, ila usijisahau ukazidisha!.
nakushauri anza kutumia chai ya mchaichai na asali kwa asubuhi na vitafunwa kadhaa mchana piga ndefu kama ni ngumu kula matunda tu usile wanga!, usiku kula kidogo mno napo vyakula vya wanga kiwe kwa asilimia chache ama kisiwepo kabisa!.

Najua itakuwa ngumu kuanza lakini wiki moja utaona mabadiriko na utaanza kuona raha utayopata!, miili huwa inatuadhibu kutokana na kula hovyo nawewe hicho ndicho kinachokutokea na ukizoea kujipangia mwili utajikuta unakubali automatic tu hiyo lishe mpya na hata ukizidisha utaona we mwenyewe!.
Ndugu dili na msosi punguza hizo kilo tano, kama vipi ongezea na mazoezi mepesi tu walau uwe unajitoa jasho kiasi tu!. zingatia unywaji wa maji pia kikubwa life style yako yakula ibadilishe.

ukienda vyema nakuapia siku tatu tu zinatosha kuja hapa jukwaani kuja ukishuhudia matokeo!.
 
Asante sana kaka Kwa ushauri wako nitafanya hivyo nitahakikisha nafuata ushauri wako
 
Pole sana.

Kama hujawahi kupima H-pylori ni muhimu ukaenda hospital ili upimwe pamoja vipimo vingine ili kuweza kubaini chanzo cha tatizo lako.

Pia chunguza aina ya vyakula ambavyo ukila huchochea hizo dalili (kiungulia nk..) ili uviepuke.

Epuka kulala au kupanda kitandani mara tu baada ya kula, kaa walau saa mbili baada ya kula ndipo ulale.

Kila la kheri.
 
Back
Top Bottom