Chief endelea ,maana wife tena leo amecomplain hiyo issue!sio ya tmobile?
Chief endelea ,maana wife tena leo amecomplain hiyo issue!
Asante mkuu,je kuna njia yeyote ya ku iron out hilo suala?simu ya tmobile ambayo imelokiwa haiwezi kukamata 3g huku kwetu sababu wao wana frequencya yao unique ambayo ni 1700 wakati sisi tunatumia 900 au 2100
Asante mkuu,je kuna njia yeyote ya ku iron out hilo suala?
Asante mkuu!hakuna sababu zimetengenezwa hivyo simu