ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,683
Naombeni kusaidiwa
Bofya MENU button kwenye simu yako kisha nenda Settings>>>>Notifications
Huko lazima utaona shida yako
Sasa kaka hapa ina kuaje nimeshindwa kujua wapi kwa ku click
Sasa kaka hapa ina kuaje nimeshindwa kujua wapi kwa ku click
Nenda settings>>>>Notification manager
Iruhusu whatsapp ikupe notification iwapo imewekewa "restrict"
Kaka hapo nimefanikiwa thankx much zilokuwa restricted.....hv zikiwa restricted ina saidia nn kaka
Kuna watu hawapendi disturbances hivo hii feature ya ku restrict notification inawasadia incase hawana moof ya kuchat
Na mie naomba nisaidiwe jins ya kutumia wasap kwa namba mbili tofauti kwenye simu ya line mbili...galaxy grand duos
Simply kk fanya hv
Uninstall hiyo offical whatsapp unayo tumia sahz
Den nenda kwenye memory card yako kwenye file la whatsap change lisomeke OGwhatsap
Den download OGwhstsap ukisearch google waipata
Ukisha download OGAWhatsap register ile namba ulio kuwa unatumis mara ya kwanza kwenye offical whatsap ukimaliza kuregister
Download ile whatsapp ya kwnza ambayo uli uninstall mara kwanza (offical) den register na namba ya pili unayo taka kutumiaa
Hapo umemaliza