Tatizo kwenye TV aina ya TCL

Tatizo kwenye TV aina ya TCL

Joined
Jan 28, 2022
Posts
42
Reaction score
44
Tv yangu ilipata dhoruba ya kwenye kioo kweka hili wingu japo picha zinaonekana ila ni kero. Kwa mafundi naomba kujua kama linatengenezeka.
20221208_153304.jpg
 
mkuu kulikuwa na domestic violence ??

Anyway
Thats time ubadili hiyo TV.
TV ina bezel nchi 5?? not for this time man
Kama ambavyo umejitahidi kununua sony music system nzuri u better go for TV also

Sikushauri kupoteza hela hata kama ni elfu 50 kutengemeza hiyo TV
 
Mkuu TCL gani hii? Mbona kama feki? TCL ni imara sana..i bet hii umepigwa.
 
Katika moja ya makosa na upotevu wa hela na kifaa chenyewe ni kurepair vitu vya electronics. Jipange tu nunua TV mpya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom