tatizo kwenye tecno h6

philipItinde

Member
Joined
Jan 29, 2015
Posts
29
Reaction score
9
nina simu tajwa hapo ipo rooted lakini kuna wakati aioneshi storage ....pia wakati mwingine inaonesha ...naomba msaada kwa anayefahamu tatizo hili
 
Attachments

  • 1431466277678.jpg
    20.8 KB · Views: 294
  • 1431466338472.jpg
    21.7 KB · Views: 256
nina simu tajwa hapo ipo rooted lakini kuna wakati aioneshi storage ....pia wakati mwingine inaonesha ...naomba msaada kwa anayefahamu tatizo hili

SHORTCUTS ALWAYS ARE WRONG KANUNUE NYINGINE VITU CHEAP VINA MATATIZO SANA KAMA UNGEKUA NA iPhone yoyote usingelalamika hayo......okay watakuja hapa kukusaidia hapa U.K hakuna hizo simu mkuu!
 
Nani amekuambia kununua simu ya Tecno ni shortcut ?? kama huna cha kumsaidia kaa kimya sio unakuja kututambia na iphone zako na ma UK yako.
 
Unroot. Root kwa sababu maalum. Simu za bei rahisi zina tabu
 
SHORTCUTS ALWAYS ARE WRONG KANUNUE NYINGINE VITU CHEAP VINA MATATIZO SANA KAMA UNGEKUA NA iPhone yoyote usingelalamika hayo......okay watakuja hapa kukusaidia hapa U.K hakuna hizo simu mkuu!

Kakudanganya nani kuwa iPhone hazina ugonjwa wa moyo? Kajaribu uone kama hujakimbilia tecno ya laki mbili na nusu
 
ingia play store download uroot then unroot kama 5 times hivi sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…