Tatizo kwenye simu ya Huawei naomba msaada

Mkulubilanga

Member
Joined
Sep 23, 2013
Posts
40
Reaction score
16
Ndugu waungwana nina kisimu changu cha mchina (HUAWEI Y300-0100}kinanitesa nami uwezo wangu wa kumiliki cm nadhani umekomea hapo kwa sasa kwani ningekuwa na uwezo zaidi ningeshnunua nyingine.

Mateso yenyewe nikama haya yafuatoyo:

(1) Nikipiga au kupigiwa baada ya kuanza mazungumzo kama sec 3 hivi mic inakata mpaka nikate CM na npigiwe au nipige tena naweza kufanya hivyo zaidi ya mara 3 au 4, then inaweza ikatokea nikaongea vizuri mpaka mwisho wakati mwingine inakuwa shwari napiga na pigiwa lakini inakuwa mara chache.

(2) Wakati ninapotaka kupiga au kupokea,kusoma kuandika msg ,e mails inatokea msg mfano; whattsapp is'nt respond you want to close it nikiweka ok inakuja nyingine ya labda viber au google zinaweza kuja hata 10 mfululizo na uwezi piga au kuandika chochote mpaka hiyo miujumbe isimame sasa hayo jamani si mateso bila chuki nishabadilisa mic mara 3 naambiwa kuna fall lakubaiisha lakini Sijui linapatikanaje nisiadieni :help:waungwana nimepata solution 1 ni kuondoa whattapp au viber hivyo nimeondoa viber iko safii lakini na hiyo viber naitaji sana sasa solution ya 2 naambiwa niidownload viber kwenye sd card hiyo sifahamu naomba maelekezo au kurekebisha hilo missing fail nayo sifahamu vilevile.
 
Bora wewe hivyo.

Yangu ilizima sasa nikiwasha ina onesha kile kinembo chao.mpaka mwisho, wala haiwaki nimeona niachane nayo tu.
 
Ifanyie factory rset ila baadhi ya data zitapotea.
 
bora wewe hivyo.
yangu ilizima sasa nikiwasha ina onesha kile kinembo chao.mpaka mwisho
wala haiwaki nimeona niachane nayo tu.

Tatizo lako in dogo sana, wala huitaji kama haiwaki inaonesha logo tuu PM
 
Ndugu waungwana nina kisimu changu cha mchina (HUAWEI Y300-0100}kinanitesa nami uwezo wangu wa kumiliki cm nadhani umekomea hapo kwa sasa kwani ningekuwa na uwezo zaidi ningeshnunua nyingine.

Mateso yenyewe nikama haya yafuatoyo:

(1) Nikipiga au kupigiwa baada ya kuanza mazungumzo kama sec 3 hivi mic inakata mpaka nikate CM na npigiwe au nipige tena naweza kufanya hivyo zaidi ya mara 3 au 4, then inaweza ikatokea nikaongea vizuri mpaka mwisho wakati mwingine inakuwa shwari napiga na pigiwa lakini inakuwa mara chache.

(2) Wakati ninapotaka kupiga au kupokea,kusoma kuandika msg ,e mails inatokea msg mfano; whattsapp is'nt respond you want to close it nikiweka ok inakuja nyingine ya labda viber au google zinaweza kuja hata 10 mfululizo na uwezi piga au kuandika chochote mpaka hiyo miujumbe isimame sasa hayo jamani si mateso bila chuki nishabadilisa mic mara 3 naambiwa kuna fall lakubaiisha lakini Sijui linapatikanaje nisiadieni :help:waungwana nimepata solution 1 ni kuondoa whattapp au viber hivyo nimeondoa viber iko safii lakini na hiyo viber naitaji sana sasa solution ya 2 naambiwa niidownload viber kwenye sd card hiyo sifahamu naomba maelekezo au kurekebisha hilo missing fail nayo sifahamu vilevile.

Mkuu nataka nikupe ushaur wa kitaalam, naomba ujibu maswali haya;
1. Mara ya kwanza kuonesha tatizo hilo ni lini au una muda gan tangu u experiance hilo tatzo.
2. Je, unatumia stock rom au custom rom? Kama jibu hapana nenda swali #4
3. Umewahi kuiangusha au kutumia chaja tofaut na original? Vipi tatzo la umeme hapo unachaj simu yako.
4.Custom rom gan unayotumia.
Then tutaendelea kuanzia hapo.
 
Back
Top Bottom