Poleni sana kwa hilo tatizo.
Kama ni mwanamme ni ukweli usiopingika tezi dume (prostate gland) anayo. Ila nadhani ulimaanisha matatizo ya tezi dume (prostate gland infections).
kati ya dalili ya hayo matatizo hiyo mojawapo lakini huwezi kabisa kuthibisha, nenda kapime PSA, Ufanyiwe DRE, Ultra sound ya kibofu na ikibidi prostate biopsy (gharama si kubwa za kutisha) ili uthibitishe.
Lakini Kwa kuwa kipimo kilionyesha ni UTI hebu nenda katika kitengo cha tiba asili pale muhimbili university wana dawa ..