Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,779
Wakuu wa Nchi hivi Kuna mtu au mtaalamu wa UROLOGIST anayekuja Dawa ya kufanya mbegu za kiume kutoka kwa njia ya kawaida, badala ya kurudi kwenye bleder ,maana unaweza kufika mshindo lakini unakuwa dry ejaculation it means mbegu zinarudi backwards kwenye kibofu cha mkojo ,na hii inasababishwa na flomax medicine and diabetes .kama Kuna mtaalamu amwaga maujuzi please.