tatizo kwenye ipad yangu..msaada tafadhali

Nakapanya

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2012
Posts
2,096
Reaction score
709
wadau naomba msaada wenu,mwanzoni nilikuwa natumia iOs 5 kwenye ipad apple ipad) speed yake ilikuwa nzuri sana ila tu baadhi ya applications sikuweza kudownload au kutumia,ikanibidi ni update to iOS 7 na hapo ndipo tatizo lilipoanzia kwani imekuwa na speed ndogo kweli,je tatizo laweza kuwa ni nini?jinsi gani naweza kutatua tatizo hili?

Natanguliza shukrani
 
moja kati ya kitu kilichokua improved kwenye ios 7 ni multitasking. ios7 ina true multitasking hata kama ume open app 100 kama hujaifunga basi zitafanya kazi hivyo kupelekea kuwa slow na kupata moto.

izime then iwashe itaanza upya kila unapotumia app ifunge kwanza ndio uingie nyengine ukibonyeza button ya katkat na kwenda nyengine ujue ila ya mwanzo inafanya kaz chini kwa chini na kusababisha speed kupungua
 
Ahsante kwa ushauri mkuu,ngoja niufanuie kazi
 
chief-mkwawa msaada tafadhali Nina htc butterfly Kila nikiulizia salio inarespond maandishi ya kichina, nimebadilisha system language kuwa English UK lakini bado tu, vile vile nimeireset lakini hakuna mabadiliko
 
Last edited by a moderator:
simu yako huja export kutoka mitandao ya nje? maybe imelockiwa kwenye mitandao isio na ussd. nenda playstore jaribu kudownload third party ussd app ujaribu kutumia. just search ussd
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…