wana jamvi nna tatizo limeanza kujitokeza baada ya kuanza kutumia memory card nkiwa natumia instagram huwa inatokea masej inasema UNFORTUNATELY INSTAGRAM HAS STOPPED sjui nn tatizo
Samahani mkuu nakutoa kwenye maada kidogo,,
mimi natumia samsung galaxy s4 bt sina memory kwa simu yangu,, natumia phone memory.. hivi haitakuja niletea shidaa..?

kama memory capacity ya simu inakutosha hakuna haja ya kuweka nyingine, memory card ni ziada tu, watu wengine wana mafaili mengi makubwa na apps nyingi kiasi kwamba memory ya simu haitoshi.

Oohh mkuu hata GB 5 nimeshindwa kufikisha.. Na nina vitu vingi sana.. Ndo maaana sikuona umuhimu wa sd card.. Bt nikawa nahisi kama na risk,, asante kwa kunitoa hofu