tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 22,756 Reaction score 31,117 Jul 3, 2019 #1 Sijui ni nini kinawakuta hawa ma-ex zangu baada ya kuachana nami wanakongoroka na kuwa hoiii kabisa.Yani full eroded/degraded, mpaka wanatia huruma. 'Kaka yake na Demiss hapa'
Sijui ni nini kinawakuta hawa ma-ex zangu baada ya kuachana nami wanakongoroka na kuwa hoiii kabisa.Yani full eroded/degraded, mpaka wanatia huruma. 'Kaka yake na Demiss hapa'
Pharm D JF-Expert Member Joined Feb 17, 2017 Posts 1,238 Reaction score 3,020 Jul 3, 2019 #2 Ukishawapa virus uwaambie ili waanze dawa mapema usiwaache blinded
tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 22,756 Reaction score 31,117 Jul 3, 2019 Thread starter #3 Pharm D said: Ukishawapa virus uwaambie ili waanze dawa mapema usiwaache blinded Click to expand... Sijaathirika mkuu,nipo ok kabisaaaa 100%.Nahisi wanakuja kosa real love waliyokuwa wanapata labda.Ila kiafya me mzima
Pharm D said: Ukishawapa virus uwaambie ili waanze dawa mapema usiwaache blinded Click to expand... Sijaathirika mkuu,nipo ok kabisaaaa 100%.Nahisi wanakuja kosa real love waliyokuwa wanapata labda.Ila kiafya me mzima
tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 22,756 Reaction score 31,117 Jul 3, 2019 Thread starter #4 TANSIS said: SASA WEWE UNAJIJUA UMEATHIRIKA UNATEGEMEA UKIWAACHA WAPENDEZE WAKATI HUWAACHII arv Click to expand... Sijaathirika mkuu,nipo ok kabisaaaa 100%.Nahisi wanakuja kosa real love waliyokuwa wanapata labda.Ila kiafya me mzima
TANSIS said: SASA WEWE UNAJIJUA UMEATHIRIKA UNATEGEMEA UKIWAACHA WAPENDEZE WAKATI HUWAACHII arv Click to expand... Sijaathirika mkuu,nipo ok kabisaaaa 100%.Nahisi wanakuja kosa real love waliyokuwa wanapata labda.Ila kiafya me mzima
tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 22,756 Reaction score 31,117 Jul 3, 2019 Thread starter #5 Hapana mkuu,nashangaa tu hawa ndugu zangu ni nini kinawafanya wabadilike TANSIS said: kwahiyo unajipromote kuwa wewe ndiyo kidume unajua sana kutyomba??? Click to expand...
Hapana mkuu,nashangaa tu hawa ndugu zangu ni nini kinawafanya wabadilike TANSIS said: kwahiyo unajipromote kuwa wewe ndiyo kidume unajua sana kutyomba??? Click to expand...
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,796 Reaction score 110,002 Jul 3, 2019 #6 Maisha ya ex's wako wewe yanakuhusu nini!!!
tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 22,756 Reaction score 31,117 Jul 3, 2019 Thread starter #7 Haya Sawa nitayaacha Watu8 said: Maisha ya ex's wako wewe yanakuhusu nini!!! Click to expand...
Mayor of kingstown JF-Expert Member Joined Feb 19, 2017 Posts 2,921 Reaction score 4,216 Jul 3, 2019 #8 Una Hiv waambie waka pime
Hannah JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 10,218 Reaction score 41,803 Jul 3, 2019 #9 Itakuwa unawaachia kidudu
tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 22,756 Reaction score 31,117 Jul 3, 2019 Thread starter #10 dark angel said: Itakuwa unawaachia kidudu Click to expand... Sina aina yoyote ya kidudu dada