Tatizo earphone au simu? Msaada tafadhali

Tatizo earphone au simu? Msaada tafadhali

Y-Senior

Member
Joined
Feb 20, 2017
Posts
21
Reaction score
6
Nina simu yangu aina ya techno lakn nikinunua earphone znakufa mapema hata kabla ya mwezi so naulza sababu itakuw smu au earphone na kam ni earphone ninunue za aina gan?
 
Nunua earphones za samsung zile nyeupe hutojutia.....
 
kuwa makini kiongozi kwenye uandishi wako!
 
Back
Top Bottom