Mada yako ni nzuri sana tu. Maana inaongelea tathmini ya timu yako baada ya mechi. Udhaifu ni hapo mwishoni tu ulipo ihusisha Yanga na viongozi. Umeonesha dalili ya hofu iliyopitiliza.
Mukoko Tonombe juzi amekaririwa Wasafi Fm akisema inapofika mechi ya Simba vs Yanga viongozi wanawaambia mechi hiyo ni yao viongozi, wao wachezaji wa relax.Alikuwa anamaanisha nn? Mechi ya simba vs yanga ni ya ushirikina t hamna lolote labda umeingia leo kujua soka la bongo
Mutale anaonekana anavi-element vya usaidoo fulani hivi ambavyo vilituchosha...
1. Kung`ang`ania sana mpira
2. Kuangalia chini sana yaani hainui macho kuona wenzake walipo.
Kama tutamantain kukaa na hawa wachezaji kwa miaka at least miwili, timu ikashikana, tutakuwa na timu hatari sana si kwa Tanzania tu bali hata kwenye michuano ya kimataifa pia
13. Mzamiru ni mmoja wa wachezaji ambao wapo Simba kwa bahati na si uwezo.
14. Kelvin Kijiri ni kipimo sahihi cha umri wa Boka anayedai kuwa na miaka 20 hiyo tarehe 8.
15. Gamondi alifuta na kuchana NOTES na HINTS alizoandika KIPINDI CHA KWANZA baada ya FERNANDEZ na Okajepha kuingia.
13. Mzamiru ni mmoja wa wachezaji ambao wapo Simba kwa bahati na si uwezo.
14. Kelvin Kijiri ni kipimo sahihi cha umri wa Boka anayedai kuwa na miaka 20 hiyo tarehe 8.
15. Gamondi alifuta na kuchana NOTES na HINTS alizoandika KIPINDI CHA KWANZA baada ya FERANANDEZ na Okajepha kuingia.
Ngoma aanzie bench, ni slow halaf anakaa na mpira team ikiwa iko on the move, umeana vile debrah na augustine wana overlap kwa speed, that how inatakiwa. Simba haihitaji kiungo slow na predictable
Hebu subiri tuone, ila kwangu ngoma ni bora, anapiga long passes, ana move with a ball, ana move without a ball. Anapiga pass za possession, anapiga pasi za kushambulia... Mzuri kwenye mipira ya juu, kuzuia na kufunga pia(ameshafunga magoli ya kichwa si chini ya ma3 hivi)