Tathmini ya Kiwango cha Confidence: Dr Tulia VS Lowassa

Nilipo Soma kichwa cha uzi nilivutiwa kusoma kumbe ni upuzi mtupu
 
Sijaona kiwango cha lowassa unachokiongelea, yawezekana ushabiki ndio uliokujaa. Lakini naye mleta mada amekosea sana, anamlinganisha msanii cum mpiga dili na msomi aliyebobea! amemuonea sana Dr.

Tatizo lako njaa inakusumbua,lowasa ni internation figure,u don't need to go to school to know this,ila kwa kuwa unatumia makalio kufikiria endelea,time will tell
 
mh lowassa is out of game nw so ntakuona mjinga kama utakaa kulinganisha future V/S past always future huwa ni bora zaid ya past tena spka wenu mwenye PHD anashindwa kukariri hata historia yake mwenyewe yani ingekuwa uspika wanachagua kwa hoja na uwezo mkubwa wa ufahamu na kujiamini nadhani sakaya angepata 95% lakn kwa vle mnachagua chama hata angesimama rafiki yangu kingwendu angeshinda 2 all in all mtujibu dr wenu kaingia lini ccm?
 
Tangu lini mgonjwa jamani akawa na confidence? Mnalinganisha uji na chai upi utashiba haraka
 

Wewe Dada unaonekana ukiwa na huba na MTU hujui neno hapana. Hata katika majambo dudu likienda kusiko maadam una imani na huyo "uliyemchagua" utatulia tuu na kutoa ushirikiano kwa vile ni "kada" mwenzio
 
Huyu binti mleta mada atakuwa Yuko ktk siku zak tu ndomana ana post ujinga ujinga
 
Kati ya dada Hamida ( HAMMY D) na dr. Tulia nani ni kilaza kumzidi mwenzake?
Toa maoni yako
 

Lengo la huu uzi ni kutazama je wale wanaotoa malalamiko kuwa fulani hafai wana uhalali wa kufanya hivyo ama lah. Kwa maelezo yaliyotolewa kwenye uzi huu ni dhahiri UKAWA hawana uhalali wowote wa kusema fulani hafai au anafaa. Maana wao walikumbatia uozo na kutaka kuufanya uwe rais; Walikumbatia mgonjwa na kutaka kumfanya awe rais; Walikumbatia fisadi na kutaka kumfanya awe rais. Hii kamwe Watanzania hatuwezi kusahau. Tutaendelea kukumbuka na kila mara UKAWA wakitaka kufanya judgement tutarudi kwenye rekodi kuangalia kama wana uhalali wa kutoa maoni ama lah.
 
ndo tatzo la mtu akishiba anapost ujinga utaandikaje maada ya kumlinganisha kuku na njiwa
 
Hahaaa!!! Kweli hamada umelewaa!!! Jana nilisema hapa hyu mtu hawez kujidefend mpk amtumie lowassa! Kusimama na utashi wake hawez hta!! Fuatilia comment zake humu jf kila swali akiulizwa anajibu lowassa!!! Content za uzi sifuri kabisa na hata hoja hujui kujenga!! Eti alikimbia midahalo huyo magufuli alienda?? Plus JPM alikimbia hata mahojiano na vituo vyote vya ndani na nje ya nchi. Hoja yake nyingne ni kuaharisha mikutano!!! Daah yaan hapa cjui nikuite jina gani aseee!!! Kuhairisha mikutano hoja yako ni confidence?? Really????? Lowassa alitumia dk 2 hadi 10 na kila mtu alimuelewa kama ingekua maneno mengi ni confidence jakaya angekua ni the king of confidence dunia nzima bt the guy is still a coward!!! Kakalia mipasho tu!! So far cjaona hata hoja ulizojenga zaid ya ujinga!!! Na umethibitisha kua Tulia hana confidence!!! ULITAKIWA KUCOMPARE CONFIDENCE YA TULIA NA MAGDALENA SAKAYA kitu ambacho umeshindwa ukaona umuweke ambae hahuski hata kidg!!
 

huyo ndio Dada Hamida mahaba kwa Lowasa yamepitiliza mpaka kamsahau mumewe...
 

Hadi hujifungue tutapata shida. Hebu kwa vile una kiherehere waambia wapiga madeal ccm kuwa Hospitali zote nchini hazina CTX kwa ajili ya watu waishio na virusi vya Ukimwi. CTX ni Muhimu kwa ajili ya Magonjwa nyemelezi. CTX ni Cotrimoxazole au Ceptrine. Jaribu kuangalia jamii yako inashida gani na uwaambie hao unaowapigia domo wafanye kazi ili waendelee kuwa madarakani. Huu ushoga unaoendelea nao hapa muda umeisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…