Mkuu huyo jamaa tumesha msahau.WanaJF,
Kwa sasa tayari uongozi wa Bunge umekamilika kwa maana tayari tunae Spika na naibu wake.
Lakini katika mchakato wa kumpata naibu spika changamoto zilijitokeza moja ikiwa ni malalamiko kutoka UKAWA kuwa mshindi wa nafasi hiyo HANA confidence, ikiwa hii ni moja tu kati ya mapungufu mengi ambayo UKAWA waliibua kuhusu Dr Tulia.
Sasa hemu leo tutathmini kati ya Dr Tulia na aliyekuwa mgombea urais wa CHADEMA, Edward Lowassa, yupi kati ya hawa HANA confidence.
TATHMINI YA KIWANGO CHA CONFIDENCE CHA LOWASSA:
1. Kukimbia Midahalo
Kati ya wagombea wa nafasi ya urais, Lowassa alikuwa kinara wa kukwepa midahalo kila mara inapo andaliwa. Pale anapotoa kisingizio kuwa yupo nje ya Dar, alipewa 'option' ya kutumia njia kama skype bado aliendelea kugoma kushiriki midahalo hiyo. Hii ni confidence?
2. Kutumia Dakika 2 kutoa hotuba
Kati ya wagombea urais, ni Lowassa pekee ndiye alikuwa kivutio na kichekesho kwa wakati mmoja. Maana alikuwa akipata mafuriko na gharika hasa kutoka kwa vijana wanywa viroba na ambao kimsingi hawakuwa na kadi za kupigia kura...lakini wakati huo huo vijana hao wamekuwa wakitoka kwenye mikutano hiyo na vicheko kwa maana matarajio yao yanakuwa hayajafikiwa...mtu walie mshabikia anatoa hotuba dakika 2!!! Hii ni confidence?
3. Kuhairisha mikutano mara kwa mara
Imekuwa ni tabia ya CHADEMA/ UKAWA iliyozoeleka kabisa ya kuhairisha mikutano yake kipindi chote cha kampeni. Unakuta Lowassa amewasili kwenye mkutano kwa mbwembwe kubwa, lakini baada ya nusu saa wanatangazia hadhira kuwa mkutano umeahirishwa kisa 'mic' mbovu...mara jukwaa sio imara; na upuuzi wa aina hiyo. Kumbe kiuhalisia mzee wa machooni (Lowassa) anakuwa ameshafanya yake (amejinyea) kwa uoga wa watu. Je hii ni confidence?
Pamoja na madhaifu yote hayo na mapungufu ya kiwango cha juu ya aliyekuwa mgombea urais wa CHADEMA/ UKAWA, bado mashabiki na wanachama wa UKAWA waliamini mtu wa aina hiyo ataweza kuleta mabadiliko ya nchi. Ikiwa mtu dhoofu hivyo ataweza kuleta mabadiliko ya nchi...sidhani kama mtu strong, educated and ambitious kama Dr Tulia atashindwa kuleta uongozi bora ndani ya Bunge kwa nafasi ya unaibu spika.
Mkuu kna shughuli nimekutafutia hapa kwangu njoo japo uingize sh! Maana wee kutwa Ni blah blah tuWanaJF,

Mkuu kna shughuli nimekutafutia hapa kwangu njoo japo uingize sh! Maana wee kutwa Ni blah blah tu
Unataka ku-justify choice ya Naibu Spika wa Bunge kwamba ni Genuine? hii kazi ni ngumu mno.
Njoo nkupe ajira we bint maana naona siasa inekutawala sana! Wenzako wana tengeneza bingo wee unabakiaaa kupiga domo.CHADEMA kwenu kushangilia uozo, huyo dady yenu ni sawa ila vizuri na vyenye kungara mnavinanga?
Mkuu kna shughuli nimekutafutia hapa kwangu njoo japo uingize sh! Maana wee kutwa Ni blah blah tu
Lowasa ndie uchafu gan mkuu?me hata cmjui huyo kiumbe.
Ntampa a zaidi ya buku7 maana huyu bint ccm imemuathiri akili yake syo bure...kutwa kumtaja El nahisi hata akiwa usingizini anamuitaga lowasaKama ni zaidi ya buku 7 kwa siku hiyo sawa!
huwezi mfananisha lowasa na uchafu kaka,lowasa ni kiwango tofauti kabisa,watch this space!!!
Uliyoandika hata hayana uhusiano, naona unatumia nguvu nyingi kutafuta kichaka.WanaJF,
Kwa sasa tayari uongozi wa
|
|
|
|
|
kwa nafasi ya unaibu spika.
Mkuu hawa watu naweza sema ni wapu- mbavu kwa kiwango cha lami kabisa. Wao Mhe Lowassa wanataka kumtaja hata katika mambo ambayo hayamhusu ili kuufanya mjadala wao uingize hasira. Hivi majukumu ya Rais yanaweza kulinganishwa na Naibu Spika? Sasa kwa nini wawalinganishe kama sio kutafuta matusi tuu washe.nzi hawa?
Hilo la Bunge kuletewa Naibu Spika na serikali na wabunge wa CCM kukubali kwa kumpa kura ndio jambo la kwanza kabisa ambalo limeonyesha kuwa hawana tofauti kabisa na wale waliopita na hawapo hapo kuibana serikali bali kuisubiri serikali itawaambia nini ili waseme NDIOOOO.
Sasa hivi ccm ilipaswa ikae na kujiuliza ni kwa nini hatukuchaguliwa zile sehemu za mijini na kule kwenye maendeleo ya maisha au Elimu? Wangeifanyia research hatua hiyo ingeibuka ccm imara lakini mmmh!
We binti ngj uolewe upumzike na blah blah za siasaTatizo lenu mna amini kuwa serikali ipo kwa ajili ya kukandamiza wananchi halafu Bunge lipo kwa ajili ya kutetea wananchi. Mtazamo huu sio mara zote ni sahihi hasa pale anapo patikana rais ambae ana upendo na wananchi na anajua shida zao. Serikali ya Dkt Magufuli haiwezi kupeleka bungeni vitu vya kukandamiza wananchi. Sasa kwanini neno HAPANA litumike?