Tathmini ndogo ya wagombea UKAWA, CCM

Uongozi ni tunu wanayopewa watu wachache sana duniani.
Baada ya Nyerere hatujawahi kupata kiongozi mwingine hadi leo tunaletewa Lowasa.
 
kama umetumwa ili uwashawish watu wampe kura maccm,walokutuma wameliwa,your convincing poweris zero
 

asante kwa kuchefua watu, ndo ivo tena unatwanga maji kwenye kinu
 
LIABIRITY ndio nini?
 
Mkuu liabirity ni nini? Mbona analysis yako haieleweki?
 


Ivi IT Wa masaki liabirity ndo kitu gani au ndo mambo ya chimwaga hayo
 
kazi ni moja tu!tunasonga mbele haturudi misri,kwajinsi hali ilivyo hata angekuwa na elimu kama ya maji marefu tungemchagua.Watanganyika tumevunja rekodi ya wana wa Israeli wao walikaa jangwani miaka 40,sisi tumekaa miaka 53!na tulipoanza safari tulidha musa{Dr slaa} atatufikisha nchi ya maziwa na asali ya nyuki wadogo.kwa kuwa kashindwa subirini Joshua{EL}atuvushe kwanza mengine badaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaae sana
 
kuna watu hawataki ukweli usemwe, poleni, ukweli haufichiki.
 
Ccm wanamisuse rasirimali watu. Ukiona mtu anachezea almasi unaichukuwa unaihifadhi. Ukawa ndicho walifanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…