CHADEMA-59% CCM-41% *VIGEZO ULINGANIFU VILIVYOTUMIKA(Comparison criteria) @UPEPO wa kisiasa(Chadema 64%,CCM36%) @Uwezo wa WAGOMBEA(Chadema 64%, CCM36%) @Mafanikio ktk KAMPENI(Chadema65%,CCM35%) @MTAJI wa wapigakura(Chadema37%, CCM63%) @Nguvu ya WAPIGA DEBE(Chadema63%, CCM37%) @Vyombo vya HABARI(Chadema52%, CCM48%) @Makundi JAMII(Chadema60%, CCM40%) @SERA mvuto(Chadema63%, CCM37%) @HAMASA za kampeni(Chadema65%, CCM35%) @MAANDALIZI ya uchaguzi(Chadema60%, CCM40%) *SOURCE: Wachambuzi na wadadisi wa mambo ya kisiasa,kwa msaada wa tathmini za vikao vya ndani kutoka vyama vyote viwili mpaka kufikia tarehe 28/3/2012.

Mwita Maranya siwezi kuamini ama kutoamini kuwa utafiti umefanyika, ila namjibia hizo percentage 59% na 41% ulizohoji kuwa total ni 100%. Kwenye statistics huwa kuna sample error range (+ or -) wakati mwingine % zingine zinakuwa negligible, kwa mfano kama sample error ni +/- 1% na kuna chama kimepata 0.5% basi kinaweza kumezwa na percentage zingine.Kama mgombea wa chadema atapata 59% na wa ccm akapata 41%, jumla ya hawa wawili inakuwa ni 100%
Lakini ni ukweli kwamba Arumeru mashariki kuna wagombea wanane, je wale wagombea wengine sita wasiotajwa kwa ujumla watapata 0% ya kura? Hii tathmini haionyeshi uhalisia wowote.
Mwita Maranya siwezi kuamini ama kutoamini kuwa utafiti umefanyika, ila namjibia hizo percentage 59% na 41% ulizohoji kuwa total ni 100%. Kwenye statistics huwa kuna sample error range (+ or -) wakati mwingine % zingine zinakuwa negligible, kwa mfano kama sample error ni +/- 1% na kuna chama kimepata 0.5% basi kinaweza kumezwa na percentage zingine.
Kama mgombea wa chadema atapata 59% na wa ccm akapata 41%, jumla ya hawa wawili inakuwa ni 100%
Lakini ni ukweli kwamba Arumeru mashariki kuna wagombea wanane, je wale wagombea wengine sita wasiotajwa kwa ujumla watapata 0% ya kura? Hii tathmini haionyeshi uhalisia wowote.
Mwita Maranya nakuelewa, hapa mimi sizungumzii ushindi nazungumzia statistics kama somo kuna vitu vingine huwa vina kuwa negligible katika kutoa report ya jumla hasa kwa vyombo vya habari, huwezi kusema chama X kilishinda kwa asilimia 61.823615% simply unasema kilishinda kwa 62%.Feedback,
Nimekupata lakini ni vizuri tukajitahidi kuwa realistic.
Nimekuwa nikiwasiliana na watu wangu walioko arumeru wananihakikishia ushindi kwa chadema.
Lakini tukizungumzia utafiti ni lazima tuwe makini sana. Kwa mfano anaposema chadema wana mtaji wa kura 37% na ccm 63% anarefer matokeo ya 2010 ambayo huwezi kuneglect kura za wagombea wengine wakati walikuwa na kura nyingi tu.
Hujui analysis inavyofanya kazi.Social Science analysis. Sidhani kama itafaa kuengiza vitu ambavyo ni qualitative then unvi"quantify". Naamini katika ushindi wa CDM lakini huu uchambuzi n feki
ungeweka wazi hao wachambuzi wa siasa , sample size ya huo utafiti na analyzed data
Sina imani na source yako. Yaani huu ni utafiti uliofanywa na magamba na CDM halafu ukafanana hivyo?. Labda wewe umefanya generalization.CHADEMA-59% CCM-41% *VIGEZO ULINGANIFU VILIVYOTUMIKA(Comparison criteria) @UPEPO wa kisiasa(Chadema 64%,CCM36%) @Uwezo wa WAGOMBEA(Chadema 64%, CCM36%) @Mafanikio ktk KAMPENI(Chadema65%,CCM35%) @MTAJI wa wapigakura(Chadema37%, CCM63%) @Nguvu ya WAPIGA DEBE(Chadema63%, CCM37%) @Vyombo vya HABARI(Chadema52%, CCM48%) @Makundi JAMII(Chadema60%, CCM40%) @SERA mvuto(Chadema63%, CCM37%) @HAMASA za kampeni(Chadema65%, CCM35%) @MAANDALIZI ya uchaguzi(Chadema60%, CCM40%) *SOURCE: Wachambuzi na wadadisi wa mambo ya kisiasa,kwa msaada wa tathmini za vikao vya ndani kutoka vyama vyote viwili mpaka kufikia tarehe 28/3/2012.
Mwita Maranya nakuelewa, hapa mimi sizungumzii ushindi nazungumzia statistics kama somo kuna vitu vingine huwa vina kuwa negligible katika kutoa report ya jumla hasa kwa vyombo vya habari, huwezi kusema chama X kilishinda kwa asilimia 61.823615% simply unasema kilishinda kwa 62%.
Hayo mengine yote yana amuliwa na maandishi yenye rangi nyekundu, tunashukuru kutuambia kuwa CDM tayari imeshindwa kwani haina mtaji wa wapiga kura
Hesabu(mathematics) na statistics ni vitu viwili tofauti.Feedback,
Statistics haijawahi kunipa shida kiasi hicho. Pamoja na uzee mahesabu hapa ndio nyumbani kwake usiwe na shaka hata kidogo.
Kwa kuangalia matokeo ya 2010 sidhani kama itakuwa ni sahihi ku neglect matokeo ya wagombea wengine. Ndio maana nikasema wagombea wengine sita hawawezi kupata 0%!
Labda nikubaliane na mdau aliyesema kilichofanyika ni comparison kati ya wagombea wawili tu, wa chadema na wa ccm.