kakakuona40
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 300
- 52
[TABLE="width: 192"]
[TR]
[TD="class: xl63, width: 64"][TABLE="class: outer_border, width: 500, align: center"]
[TR]
[TD]YEAR
[/TD]
[TD]2010
[/TD]
[TD]2012
[/TD]
[TD]% drop
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]6651
[/TD]
[TD][TABLE="width: 192"]
[TR]
[TD="class: xl64"]5377
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[TD]-23.7
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]CAHADEMA
[/TD]
[TD]617
[/TD]
[TD][TABLE="width: 192"]
[TR]
[TD="class: xl64"]281
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[TD][TABLE="width: 192"]
[TR]
[TD="class: xl65"]-119.6
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]CUF
[/TD]
[TD]524
[/TD]
[TD]223
[/TD]
[TD][TABLE="width: 192"]
[TR]
[TD="class: xl65"]-135.0
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Nwaomba mnisamehe sana wana JF najua hesabati ni janga la kitaifa lakini nimejitahidi kurahisisha, Kwa matokeo haya inaonyesha kati ya CUF na CDM kuna higher percentage drop ya support ya wapiga kura CUF kuliko CDM. [/TD]
[TD="class: xl63, width: 64"][/TD]
[TD="class: xl63, width: 64"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl64, align: right"][/TD]
[TD="class: xl64, align: right"][/TD]
[TD="class: xl65, align: right"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl64, align: right"][/TD]
[TD="class: xl64, align: right"][/TD]
[TD="class: xl65, align: right"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl64, align: right"][/TD]
[TD="class: xl64, align: right"][/TD]
[TD="class: xl65, align: right"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
masahihisho madogo: Hayo matokeo yamechanyika kwa maana ya uwakilishi na ubunge. Kumbuka kwa zanzibar kila jimbo linakuwa na mwakilishi kwa ajili ya baraza la uwakishi zanzibar na mbunge ambaye anakuja bungeni dodoma. Mwaka 2010 chadema hawakusimamisha mwakilishi jimbo la uzini hivyo unaweza kuweka 0. Hii ni mara ya kwanza kwa chadema kusimamisha mgombea wa nafasi ya uwakilishi (sio ubunge) kwenye jimbo la uzini.
Msibadili mambo si kila jimbo la uakilishi lina ubunge.uzin ni uwakilishi tu
Hizi ni hesabu za kiburicheka.. Huwezi kuweka asilimia ya mwaka 2010 ukalinganisha na ya mwaka 2012 waklati idai ya wapiga kura ni tofauti baina ya miaka. Kumbuka tu kwamba 1/3 ya wapiga kura hawakupiga kura mwaka huu.. Sasa hizo hesabu zake mbona umezitupa nje wakati ndio sababu kubwa.[TABLE="width: 192"]
[TR]
[TD="class: xl63, width: 64"][TABLE="class: outer_border, width: 500, align: center"]
[TR]
[TD]YEAR
[/TD]
[TD]2010
[/TD]
[TD]2012
[/TD]
[TD]% drop
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]6651
[/TD]
[TD][TABLE="width: 192"]
[TR]
[TD="class: xl64"]5377
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[TD]-23.7
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]CAHADEMA
[/TD]
[TD]617
[/TD]
[TD][TABLE="width: 192"]
[TR]
[TD="class: xl64"]281
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[TD][TABLE="width: 192"]
[TR]
[TD="class: xl65"]-119.6
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]CUF
[/TD]
[TD]524
[/TD]
[TD]223
[/TD]
[TD][TABLE="width: 192"]
[TR]
[TD="class: xl65"]-135.0
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Nwaomba mnisamehe sana wana JF najua hesabati ni janga la kitaifa lakini nimejitahidi kurahisisha, Kwa matokeo haya inaonyesha kati ya CUF na CDM kuna higher percentage drop ya support ya wapiga kura CUF kuliko CDM.[/TD]
[TD="class: xl63, width: 64"][/TD]
[TD="class: xl63, width: 64"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl64, align: right"][/TD]
[TD="class: xl64, align: right"][/TD]
[TD="class: xl65, align: right"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl64, align: right"][/TD]
[TD="class: xl64, align: right"][/TD]
[TD="class: xl65, align: right"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl64, align: right"][/TD]
[TD="class: xl64, align: right"][/TD]
[TD="class: xl65, align: right"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Wameanza kuingiza siasa hadi kwenye kanuni za hisabati!!!!! Oooh!!!!!Hizi ni hesabu za kiburicheka.. Huwezi kuweka asilimia ya mwaka 2010 ukalinganisha na ya mwaka 2012 waklati idai ya wapiga kura ni tofauti baina ya miaka. Kumbuka tu kwamba 1/3 ya wapiga kura hawakupiga kura mwaka huu.. Sasa hizo hesabu zake mbona umezitupa nje wakati ndio sababu kubwa.
Hata chukua 6651+617+524=7792 Halafu ukachukua 6651 ya CCM kupata asilimia ya ushindi itakuwa 85.4 bila kuchukua idadi ya vyama vinginevyo ama zilizoharibika..halafu ukija mwaka 2012, chukua 5377+281+223=5881, halafu chukua 5377 kupata asilimia itaonekana kubwa kwa sababu kuna tofauti kubwa baina ya idai ya 7792 ukilinganisha na 6651..Hii ndio tofauti iliyokula kwa Chadema na CUF, hivyo la kujiuliza imekuwaje 1/3 hawakupiga kura. Kuna mahesabu wataalam husema kuna uwezekano mkubwa kwa chama kufanya vizuri ukiweka wapiga kura 100 kuliko ukiweka 10..Hii ikiwa na maana ktk 10 unaweza kutopata hata kura moja lakini ukiweka 100 unaweza kupata tisa - Probability