Ngungenge
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,953
- 3,449
tathimini nilioifanya miezi mi Tatu sasa inaonesha utawala wa Magufuli ni utawala dhaifu na unaoweza kuanguka wakati wowote
Nimepita mikoa kadhaa mwanza, geita, Dodoma, Morogoro, pwani, Tabora, Iringa na mtwara nimebaini yafuatayo
1. Watu wanachuki na uonevu na manyanyasho yanayofanywa na serikali
2. Watu wamechoka na kukerwa na kutumbuana (nahisi ndo mana Kiki za hivi zimepungua)
3. Watu wamechoka Sifa na matamshi yasiyo na tija
4. Watu wanahasira na Mkuu na mwanae bashite
5. Watu wanaomba Mungu chochote kitokee ili wakianzishe
Nikajiuliza kwanini wanataka wakinukishe wakasema
1. TRA
2. Ajira
3. Watoto wao kukosa mikopo
4. Ugumu wa maisha
5. Ubaguzo na Hali ya kutaka kulipa kisasi
Conclusion and recommendation
Mzee badilisha mbinu ya utawala fanya kama ulivyoanza miezi 6 ya kwanza
Usiongee sana ama kujibizana sana na kila comment zingine ignore
Acha kuongea sana fanya sana
Usiwe mkali unapokutana na negative opinion
Mpigie kikwete simu at least kwa wiki Mara 3 akupe ujanja
Kumbuka watu wanatafuta sababu ya kufa utawauwa wangapi mfano ndugu za waliookotwa kwenye kiroba wanataka kulipa kisasi
Ndugu wa waliookotwa koko beach nao roho ziko juujuu
Ukoo wa akina azory wana hasira Hawa Sijui nisemeje yaani nchi inawaka moto kwa ndani
Mzee dawa ya Hawa watu wape fedha achia fedha wasahau ugumu wa maisha lasivo chanzo chochote kile kikitokea usishangae nchi ikawaka moto