Tathimini ya siasa Bongo

redashampu

Member
Joined
Apr 7, 2014
Posts
15
Reaction score
3
Ukiiangalia Tz ya mwaka95 inamisingi mikubwa ya Ujamaa na kujitegemea(socialism) ktk nyakati hizo na misingi hiyo kauli za Mwl. Jk Nyerere zinakuwa na mashiko makubwa(valid). Lakini Kipindi hiki nikingine yatupasa kutafakari upya swali moja la msingi "katika falsafa nchi yetu bado inaamini ktk misingi ya ujamaa na kujitegemea lakini vp katika utendaji?" unapo pata jibu la swali kama hilo utapata aina ya kiongozi anayeitajika sasa katika taifa letu.

Niwakati gani mtoto anatambua uzuri wa mafunzo ya mzazi kuwa yalikuwa sahihi? Jibu ni rahisi, ukipata mtoto nayeye anaanza kukuona hauko sahihi kama mzazi na hapo ndio mwanzo wa kutambua uzuri wa mafunzo ya mzazi.

Ali kadharika ni lini SIASA itafahamu mahitaji ya wananchi, ni pale tu raia watakapo iwajibisha SIASA. Kwa sasa kiukweli bado siasa inatuwajibisha.

Amka eeeh Mtanzania iwajibishe siasa na si siasa ikuwajibishe wewe. 25 october 2015 uamuzi ni wako kuwa mtumwa wa siasa au siasa kukutumikia.

"don't trust any one except the fact of your ignorance" we still trust the mono partism why can't we try multiple parties?

We h'v multiple part in speech for a period of tym BUT now into work.
 
Swala la wananchi kuchagua chama kimoja halina tatizo ila swala ni je chama kinakidhi matarajio ya watanzania?nionavyo mimi hakuna shaka ndio maana serikali iliyopo imeendelea kuaminiwa kwanza kwa kuwa imeundwa na wananchi wenyewe na madaraka yake yametokans na wananchi na inafanya kazi kwa maslahi ya wananchi watanzania,tusibeze mafanikio yaliyopo ambayo ni makubwa sana,tuipe nafasi tena serikali hii iendelee kutuletea maendeleo.
 
Hapa kazi tu ndio mpango mzima,magufuli hoyeeeeee....kura zote za wapenda maendeleo kwa magufuli
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…