savo
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 293
- 233
Ashukuriwe Mungu kwa kunijalia hadi ya leo ambayo ni ya 365 ya mwaka 2016. Asante wazazi wangu, ndugu zangu, marafiki zangu na wengine wengi kwa kunifanya mi kama nilivyo.
Asante wapiga kura wa mbeya tulojitokeza kupiga kura mwaka 2015 na kumwamini mh.Sugu Kwa kumpa tena Ubunge.
Ndugu zangu wana JF sipo Mbeya kwa muda kidogo nahitaji kujuzwa maendeleo yalipo au yanayoendelea kukamilika jimboni kwangu.
-Ingawa maendeleo ya mbeya kiujumla kiasi chake kumeendelea kidogo tofauti na kipindi cha Mh.Mpesya.
HAYA NDIYO NILOYAONA KWA KIPINDI CHA MWESHIMIWA SUGU 2016.
-Ashukuriwe Sugu kwa kupigania haki ya wamachinga pale mwajelwa kuhakikisha wanabaki kwenye maeneo yao ya awali na kufanya shughuli zao kama kawaida kutokana na usumbufu wa serikali tawala.
N.B Tushilikiane kuyajua yanayoendelea Mbeya hasa jimbo la Mh. SUGU kwa waliomo humu ndani.
Asanteni na maandlizi mema ya kuupokea mwaka 2017 salama Mungu atuongoze tuvuke salama.