TATA Truck Inauzwa

TATA Truck Inauzwa

kaliwonela

Member
Joined
Mar 14, 2018
Posts
18
Reaction score
17
Gari aina ya TATA L09 linauzwa. Liko katika hali nzuri limetembea kms 10,600. Bei ni 38 million. Usajili ni T 253 DJQ

Mawasiliano. 0754 300 880
IMG_20180417_164558.jpg
IMG_20180417_164608.jpg
IMG_20180417_164639.jpg
 
tani ngapi ? na ya mwaka gani ? na ipo wapi
 
Ukiipeleka Mkoani Mara ( Musoma ) hasa kwa Wazanaki yatagombaniwa mno Mkuu kwani hilo Jina la hilo Gari lina maana kubwa sana kwa Lugha yao. Nimeshakufungulia fursa tayari hiyo Mkuu hivyo usinisahau tu katika 10%.
inabidi nicheke tu, tata mura

Kwaiyo apeleke Musoma mkuu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom