wangimarwa
Member
- Jun 24, 2015
- 10
- 3
Ikiwa prof. Lipumba aliungana na wenzake kwenye huu umoja wa vyama vinavyopinga katiba yaani ukawa. Na pia wakaja wakaafikiana kuunga kwa ajili ya kukiondoa madarakani CCM inakuwaje leo anajiuzulu uwadhifa wake wa m/kiti je haoni kama amekiuza chama chake cha CUF? Na kama wenzake wamekiuka masharti waliojiwekea kwann asingesimama kidete kwenye hili ili kukinusuru chama chake cha CUF na je haoni kuwa anaweza kuja kulaumiwa na wanachama wa CUF endapo mbeleni yatatokea yasiyotarajiwa? Au nini taswira nzima ya CUF na ukawa kiujumla kwenye siasa?