Taswira ya Mbagala

.......kati ya maeneo ya dar yalionikalia kushoto kujenga au hata kuishi ni mbagala, sijui kwa nini? Sinaga mzuka hata wa kununua kiwanja hata kama ni bei rahisi. Wilaya ya temeke yote huwa siipendi.

Mkuu kwa ile kazi yako itakuruhusu kwel kupata hela ya kununua kiwanja Mbagala? vip mkuu bado upo kwa sista au ulishapata chumba chako mwenyewe? teh wabongo bhana
 

Nakaa huko watu hawaijui Mbagala. Ni raha sana kwa usafiri. tena asubuhi kama unatoka mbagala gari za toka mjini huwa wanazizuia watu waweze kuwahi kazini kuanzia darajani
 
Mbagala nayoishi mimi hatujui shida ya maji, chumba bei rahisi, vigodoro ni shughuli za kawaida tushazoea, chakula ni bei rahisi naipenda mbagala

Na wao vigodoro vyao ni akina FM academia twanga.....etc ... Kuanzia Jumatano usiku kuchwa Ndombolooooo
 
Mbagala hawachangii nyembe tu hata kondomu hufuliwa na kuazimwa kwa mtu mwingine.

Inaweza ikawa afadhari ya hiyoo... Huko kwenu mnachangia mademu bila kondomu... Na mademu wenyewe hao wanalia kwa script ... oooshhh bebii... ooosh shiiiit..... mwanzo mwisho .......kila mmoja anaona yupo peke yake na anapendwa sana
 
Mbagala hakuna taby ya maji kama ubungo kwa mnyika.

Mbagala na temeke kwa ujumla ni eneo ambalo kuna viwanja vingi vya wazi na michezo ambavyo havijauzwa kama kinondoni.

Mbagala watu wanaishi kwa umoja ustaarabu na kusaidiana wakati wanatatizo kuliko ubungo kwa mnyika ambao ni wabinafsi na wachoyo ambao wako ladhi. Kukata mabomba ili wauze maji.
 
wanajeshi wengi waliostaafu na police wameenda kujenga mbagala, usafiri sio shida kama mbezi, kimara, bidhaa bei rahisi.
 

noma sna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…