Taswira ya Mbagala

 
Ni kweli kabisa mbajala ukipita na rav4 mtaani watoto watakushangaa kweli tena kwa vigeregere, ukiwa na elf10 mtaa mzima utaitwa milionea.

Kichwani kumejaa kamasi
 
Mimi nisipokuta ile foleni ya pale bandari nafika mjini kwa dk 20, ikiwepo dk 30-45 honestly nafaidi usingizi maana sina haja ya kuamka sa11 kwenda kazini. Sasa wewe toka huko unakoish njoo tukutane posta tuone kama tutafika sawa? Huyu vp? We huijui mbagala kaa kimya.
 

Mbagala hawachangii nyembe tu hata kondomu hufuliwa na kuazimwa kwa mtu mwingine.
 
Viwembe vya mbagala ni vya aina gani mpaka kiwembe kimoja kiweze kunyoa vichwa vitano???
 
Ni kweli kabisa mbajala ukipita na rav4 mtaani watoto watakushangaa kweli tena kwa vigeregere, ukiwa na elf10 mtaa mzima utaitwa milionea.

Utakua sio mzima wewe, sihami mbagala ng'o. Njoo Saku uone tunavyoishi kwa raha, majimatitu, chamazi. Na hivi Bakhressa anajenga uwanja huku lazima mtakuja tu.
 
mtoa mada naona anachanganya madesa...hizo sifa ulzozitoa mbona hakuna huku mbagala..tuambie huo utafiti wako umefanya mbagala gani...hizo sifa labda unambie tandale lakin sio mbagala.
 
Kichwani kumejaa kamasi

sio kamasi tu hata funza.atakuwa nao huyo...unakuta anaropoka hapo wakat hata mbagala kwenyew hajafika..nimeishi mbagala mwaka wa 20 na sijutii kamwe kukaa mbagala..
 
Atakuwa wa mkoani tu huyu. Kaja likizo kwa dada yake baada ya kumaliza mitihani ya annual ya form one
 
Atakuwa wa mkoani tu huyu. Kaja likizo kwa dada yake baada ya kumaliza mitihani ya annual ya form one

Tangu 2001 naishi mbagala utaniambia nn? Chochoro zote nazijua. Tangu nikiwa mtoto mpk leo mtoto wa mchumba wangu (mwanangu) ananiita baba. Haaaa utaniambia nn tangu nacheza mpira viwanja vyenye mbigili biasi (sasa hivi kuna viwanda). Tangu enzi hizo rangi3 kuna miti mirefu, enzi hizo nasoma pre-form 1 pale zakem mliman before kibondemaji karibu na kanisa katoliki. Haaa!!
Umemaliza masomo juzi umekuja mjini kutafuta kazi ndio uponde Mbagala wakati wewe unalala sebuleni? Ndio, coz umekuja tu juzi. Either unakaa tabata,tegeta,boko,mbezi/kimara coz huko kote kulikua vichaka wakati sisi tunahamia Mbagala.
Only the brave can understand how beautiful and sweet Mbagala is. For your info, Mbagala is one of the fastest growing places in the City. Every now and then more businesses are opened, banks are looking for offices to let. It's a very nice place to invest, so far. Come experience the goodness of Mbagala. Karibu Mbagal.
 
Hapo kwenye namba 2 ni kwa sababu wanazaliana sana.
Hapo kwenye namba 3 wanamwita fundi seremala na kutengenezea hizo sofa humo humo ndani.
Hapo kwenye namba 6 ni kwa sababu vipato vyao ni vidogo kwa hiyo hawawezi kununua vitu original ambavyo ni ghali.
Hapo kwenye namba 7 ni kwa sababu ya dini moja iliyotawala huko.
Hapo kwenye namba 9 ni kwa sababu wanapenda sana starehe kuliko kazi.
 
.......kati ya maeneo ya dar yalionikalia kushoto kujenga au hata kuishi ni mbagala, sijui kwa nini? Sinaga mzuka hata wa kununua kiwanja hata kama ni bei rahisi. Wilaya ya temeke yote huwa siipendi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…