TASAF: Technical Assistant (Monitoring Officer) - 30 Posts

TASAF: Technical Assistant (Monitoring Officer) - 30 Posts

Jibu zuri mkuu, kwa uzoefu sijawahi piga ajira ya kudumu tangu nimemaliza chuo na maisha ni haya haya 3 years project inakwisha nasonga mbele kuna kipindi unakaa mtaani miezi 2 alafu unapata chaka mambo yanakwenda na huu ni mwaka wa tisa na wale wanaotegemea ajira za kudumu wapo tu kuna ambao wame make money ila kuna ambao wamejisahau wapo wapo tu hakuna lolote, wakati mwingine hizi ajira za muda maalumu zinasaidia kwani wakati mwingine zinakuwa zinalipa pia zinakufanya ufikirie zaidi way forward baada ya contract / project kwisha na unakuta mtu anakuwa anatimiza mipango yake mingi tofauti na ya kudumu ambayo mtu anajiona ana 30 years anajiona bado ana 30 years mpaka astaafu hivyo anaponda maisha.

Kiukweli ajira ya kudumu ikimpata mtu mwenye malengo kwa sasa hivi anaweza kutoka kwa kuwa mabank yanatoa mikopo marejesho mpaka 4 years tofauti na hizi project ambazo contract ni one year but renewable lakini ndio hivyo tena vijana wengi wanaangalia salary slip zao na kusoma balance ya miaka ya kustaafu na kuona mbali mwisho wa siku wanajikuta umri umekwenda na majukumu yameongezeka
ndugu wewe tafuta hizo hizo ajira za contract sasa unataka ukae miaka 30 ofisin kwa ajira ya kudumu tunaomaliza vyuoni tupate wapi kazi? experience? miaka 9 kwa ajira zako za contract hujajipanga..unategemea nin tengeneza ya kwako jombaaa..bwana mambo yawe fresh...alaaaah
 
ndugu wewe tafuta hizo hizo ajira za contract sasa unataka ukae miaka 30 ofisin kwa ajira ya kudumu tunaomaliza vyuoni tupate wapi kazi? experience? miaka 9 kwa ajira zako za contract hujajipanga..unategemea nin tengeneza ya kwako jombaaa..bwana mambo yawe fresh...alaaaah

I support ajira za mkataba mkuu soma paragraph yangu ya kwanza mkuu usikurupuke, paragraph ya pili ilikuwa najaribu kuonyesha wale wenye hizo ajira za kudumu(wachache) wanavyoshindwa kutumia fursa za mikopo katika mabenki maana wengi wakiangalia wamebakiza miaka 20 kustaafu wanajiona bado ila waliobahatika ajira za mikataba akipiga miaka yake 3 project ikiisha anasepa zake anatafuta sehemu nyingine na anakuwa anazitumia ela kwa productive issues kwa kuwa akicheza tu life inamkaba

Mkuu nimejipanga kimaisha unafikiri kwanini tulikuwa tunatoa povu baada ya serikali kuzuia fao la kujitoa? ni kwa kuwa ndio zetu hizi unapiga kazi miaka 4 contract ikiisha unavuta mafao unaanzisha income generating activities huku una mkataba sehemu nyingine. Nimejipanga mkuu for 9 years nilidumu kwenye game kinachofanyika ni kutafuta reserves kwani fainali uzeeni na pia kumbuka hakuna mtu ambae anakinai fedha kama utapata ajira komaa nayo tu mkuu huku kichwani unakuwa na fikra ya kuanzisha shughuli zako.

Pia hata wewe ukipata ajira nzuri ya kudumu ichukue but ikipatikana ya mkataba ambayo ni nzuri zaidi ya hiyo ya kudumu unaichukua maana wengi huwa wanaziacha za mkataba wakihofu itakuaje mkataba ukiisha. Mfano unalipwa kilo 8 ajira ya kudumu alafu unapata kazi ya mkataba 3 years unalipwa 3.5 m kama wewe utafanyaje, kuna ambao wanaogopa kuacha ya kudumu na kuna wengine wanaikimbilia maana kwa mshahara huo wa 3.5 m ukimaliza mkataba utakuwa mbali na hata contract wasipo renew tayari kwa kipindi hicho utakuwa umetengeza mafao yako kama 21 million (kama ulikuwa unajenga hiyo ela unaweza kutumia kiasi for finishing while kiasi kingine biashara) hivyo kwa mjasiamari hapo utamkuta amepata mkataba sehemu nyingine na huku amechukua fao lake la kujitoa anasonga mbele.
 
Back
Top Bottom