F fire and fury Member Joined Jan 8, 2018 Posts 12 Reaction score 3 Feb 26, 2022 #1 Haiingii hakilini kwamba maji yote yanayotokea mwananyamala, regent street yanaleta mafuriko mtaa wa Chato hata kama mvua ni manyunyu bila hatua zozote kuchuliwa. Hao TARURA wako wapi. Au ndiyo juhudi za kukwamisha kasi ya awamu ya sita.
Haiingii hakilini kwamba maji yote yanayotokea mwananyamala, regent street yanaleta mafuriko mtaa wa Chato hata kama mvua ni manyunyu bila hatua zozote kuchuliwa. Hao TARURA wako wapi. Au ndiyo juhudi za kukwamisha kasi ya awamu ya sita.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,205 Reaction score 195,951 Feb 26, 2022 #2 Wapo busy kukusanya parking fees...