TARURA waanza kuita watu kwenye Usaili kwa walioomba kazi kwenye tangazo la tarehe 8/12/2017

Wanamuitaji LAND SURVEYOR II wa aina gani mpaka apatikane mtu mmoja tu alio qualify kuitwa kufanya usaili kati ya hao walio apply kwa hatua ya mwanzo kama hii??
 
Najua leo ndyo wanapiga aptitude test mipango atakayefanikiwa kuipiga picha aitupie hapa tuone sample
 
Ngoja watoke kama wewe uliitwa na hukwenda basi waliohudhulia ni 199 mpaka sasa. Mnazid pungua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom