Wakala wa Barabara Mijini na Vijijini wilaya ya Kilosa imepewa dhamana ya kusimamia matengenezo ya barabara za wilaya ya kilosa. Meneja wa Tarura Injiniya Sawake na msaidizi wake Injiniya Munyanga ndio vinara wa kuomba rushwa kwa wakandarasi ili wawape tenda za barabara.
Nimekuwa karibu na makandarasi wengi ambao wamekuwa wakilalamika kunyanyaswa na mainjinia hawa ili wawape fedha kila wanapolipwa na wasipowapa wanafanyiwa figisu mpaka wanafukuzwa kazi na kufilisika kabisa.
Wamekuwa wakitumia vitisho kuwa usipowapa pesa wanakufukuza tena wanapanga kabisa na kiasi wanachotaka bila kujali faida inayopatikana. Kila mkandarasi anapoliwa wanataka wapewe sio chini ya milioni 3 au 4.
Nimeshuhudia wakandarasi wawili wamesitishwa mikataba yao kwa sababu ya figisu zao tena wanajigamba kuwa hawawezi kufanywa kitu kwa sababu wana mtandao mpana mpaka mkoani kwa sababu injiniya wa mkoani ni mhaya mwenzao.(ukabila).
Naomba vyombo vinavyohusika vifuatilie kwa karibu hasa TAKUKURU na Mkuu wa wilaya na Mkuu wa mkoa hata ikiwezeka kuwahoji wakandarasi waliopata kazi na waliofukuzwa kazi vinginevyo wilaya yetu itazidi kuwa nyuma kimaendeleo kila siku kwa sababu ya tamaa ya watu wachache wasiokuwa na maadili ya kazi.