Tarime wamkataa DC

Naipenda sana Tarime ni watu wasiopenda unafiki wakiona kitu hakifai huwa wanasema kwa nguvu za o zote na wakiwalazimisha watatafuta njia mbadala ya kumtoa au mwisho wa siku yeye mwenyewe itabidi aondoke hawapendi ujinga na hawana mzaha wale
 
Barubaru,
Ni kweli utaratibu huo ulioainisha ndivyo ulivyo kwenye makaratasi (nadharia); lakini unajua uhalisia wake (kivitendo)?
 

Barubaru,
Ni kweli utaratibu huo ulioainisha ndivyo ulivyo kwenye makaratasi (nadharia); lakini unajua uhalisia wake (kivitendo)?
 
Barubaru.
KAKA utaratibu wa kiutendaji hauzuii wao madiwani kutoa mitazamo yao.
Na usije ukadhani kwamba ni habari ya kutungwa huo ndio ukweli.
 
Last edited by a moderator:
Na hii inathibitisha kuwa cheo cha ukuu wa wilaya ni useless

Yes it is useless, huwezi amini kuna wilaya moja haikuwa na DC, since alipokwenda kwenye kura za maoni hiyo 2010 na kushinda ubunge...na mambo yalikwenda poa tu, and hio wilaya haukupata "hati chafu". kama wilaya zenya DCs.
 
Kwasasa kazi kubwa ya DC imebaki kuwa ni "protocal" hasa katika matukio ya ziara za Rais na Mwenge zinapokuwa wilayani kwake,...au walipata kazi lilipotokea tukio la mauwaji ya Albino..
 
kwa kweli hawa akina muraaaaaaaa wamenifurahisha sana,keep it up muraaaaaaaa
 
kweli nchi yetu naona ukombozi uko karibu sana .Tarime oyeeeeeeeeee! huku ndiko kukomaa nakuona nini tufanye sio kuchanguliwa bongo lala na sisi tunakubaliana naomba na wilaya zingine ziinge fukuza hao vichwa maji. maendeleeo mbeleee!

Hawa watani zangu nawapenda sana. Wanakuwa na msimamo, wanachosema ndicho wanamaanisha!!
 
Tiare mura haka kajamaa tumikakaanga kwa mukubua wake,kaende kure kwao hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…