Tarime: Oparesheni 255 yatikisa, Maefu ya Wananchi wafurika kumpokea Mbowe, awasha moto mkubwa Sirari na Nyamongo

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,753
218,347
Ifike mahali sasa Chadema nayo ipewe Nchi tu , hakuna namna yoyote tena ya kuwakwepa , Wana watu nyuma yao .

Naweza kuthibitisha kwamba hakuna kiongozi yoyote wa Tanzania aliyewahi kupata mapokezi kama haya waliyopewa hawa Chadema leo hii huko Tarime, Hakuna.

Sasa sijui hali hii imeletwa na kuongezeka kwa idadi ya watu ama la ! Bali itoshe tu kusema Mapokezi ya Tarime kwa Chadema ni Balaa

Hii aione Mamluki mmoja humu anaitwa mapessa , tumeona unachukua uchafu wa Maulid Kitenge na kujaribu kudanganya watu humu JF, huwezi kushindana na Chadema kuhusu Nyomi , Muulizeni Chongolo kilichomkimbiza Majukwaani .

Hii ni Nyamongo jioni hii

Screenshot_2023-09-05-16-29-00-1.png

Hapa ni Sirari mapema kidogo

Screenshot_2023-09-05-13-28-25-1.png

Hutakiwi kuondoka JF Muda huu , maana ndio kwanza tumeanza
=======
Tarime Mjini

Screenshot_2023-09-05-18-03-56-1.png
 
Chadema wakipewa nchi tunaweza Kuta tunarudi nyuma zaidi ya miaka thelathini.

Kila mtu atataka kujilimbikizia Mali yeye kwanza na familia yake then raia tunafuatia.ukiuliza watakujibu kuwa mambo hayaendi kwakuwa watangulizi wa nchi hawakuweka mifumo imara

Kwanza ni kama kichekesho fulani hivi kuona John Heche naye ni waziri,
Bora Mnyika Nina Imani naye.

Au msigwa homeboy naye awe kiongozi wa ngazi za juu , dah

Au John pambalu naye ni kiongozi mwandamizi.Duhh kichekesho Cha Karne.

Vipi wale 19,mtawarudisha kundini ili mjenge serikali yenu?
Najua mlivyo wanafiki mtawasamehe tu kwakuwa mlizidiwa kete.

NB:msinishambulie Mimi Sina chama chochote, halafu dizaini kama nimelewa hivi
 
Wewe utakuwa ni Mhutu
 
Ifike mahali sasa Chadema nayo ipewe Nchi tu , hakuna namna yoyote tena ya kuwakwepa , Wana watu nyuma yao .

Naweza kuthibitisha kwamba hakuna kiongozi yoyote wa Tanzania aliyewahi kupata mapokezi kama haya waliyopewa hawa Chadema leo hii huko Tarime , Hakuna .

Sasa sijui hali hii imeletwa na kuongezeka kwa idadi ya watu ama la ! Bali itoshe tu kusema Mapokezi ya Tarime kwa Chadema ni Balaa

Hii aione Mamluki mmoja humu anaitwa mapessa

Hii ni Nyamongo jioni hii

View attachment 2739889

Hapa ni Sirari mapema kidogo

View attachment 2739900

Hutakiwi kuondoka JF Muda huu , maana ndio kwanza tumeanza
Dakika 45 zinatosha kukamilisha mkutano?
 
Chadema wakipewa nchi tunaweza Kuta tunarudi nyuma zaidi ya miaka thelathini.

Kila mtu atataka kujilimbikizia Mali yeye kwanza na familia yake then raia tunafuatia.ukiuliza watakujibu kuwa mambo hayaendi kwakuwa watangulizi wa nchi hawakuweka mifumo imara

Kwanza ni kama kichekesho fulani hivi kuona John Heche naye ni waziri,
Bora Mnyika Nina Imani naye.

Au msigwa homeboy naye awe kiongozi wa ngazi za juu , dah

Au John pambalu naye ni kiongozi mwandamizi.Duhh kichekesho Cha Karne.

Vipi wale 19,mtawarudisha kundini ili mjenge serikali yenu?
Najua mlivyo wanafiki mtawasamehe tu kwakuwa mlizidiwa kete.

NB:msinishambulie Mimi Sina chama chochote, halafu dizaini kama nimelewa hivi
Hebu nambie pale chadema viongozi wa juu ni nani unaweza sema unakipato zaidi yake alafu ukumbuke ni ccm wangapi choka mbaya japo chama ndio kinashika dola ni ccm wangapi wanaufukara uliopitiliza. Mambo mengine hatujui yupi mwema yupi hafai
 
Rudini kwenu Burundi maana mliyomfuata kesha waacha
 
Wewe ni mjukuu wa Mwakipande?,nenda kafanye biashara ya uganga wa kienyeji, umejuaje hayo yote yatafanyika iwapo CDM watachukua uongozi wa nchi?
 
Hebu nambie pale chadema viongozi wa juu ni nani unaweza sema unakipato zaidi yake alafu ukumbuke ni ccm wangapi choka mbaya japo chama ndio kinashika dola ni ccm wangapi wanaufukara uliopitiliza. Mambo mengine hatujui yupi mwema yupi hafai
Wachana na huyo kwangu pakavu tia mchuzi
 
Hao ni uvccm wanao jiita CHAWA
Hao ndio wajukuu zao watakuja humu jf kulalamika ohh ukoo wetu maskini mara babu yangu alikua mngese sana hakumiliki hata jengo moja town muda huo wajukuu zetu wanafurahia maisha na babu wakishua babu wheelchair inajiendesha sio babu anatumia mkongojo kama anachunga. Ukiwa chawa ujanani uzeeni lazima uwe kibuyu cha laana kitu kidogo unaacha laana
 
Back
Top Bottom