TARIME MJINI: Ester Matiko chaguo la wananchi


tarime hawawezi kumchagua mwanamke kuwa mbunge bana.kembaki juu sana. Ccm juu
 
Kwani majina ya wagombea wote si yametolewa kwani jina la matiko halipo? Huyu dada namkubali ni mpambanaji sana bunge lililopita hakutetereka kutetea hoja yake hata aliposhambuliwa na wabunge wa ccm.
 
Yametimia hongera kwako kamanda ester matiko(CHADEMA) umevunja rekodi kuwa mbunge wa kwanza wa jimbo mkoa wa mara-peopleeeeesss
 
Ameshaaa tangazwa mshindi tayari
Ester matiko mbunge tarime
kura elfu 24 cdm
Kura elfu 14ccm
 
Waliokuwa wanasema Wakurya hawawezi kuongozwa na mwanamke aibu yaooooooo!!!!!!

Bado tunasubiri kwenye jimbo la Esther Matiko...
 
Wakurya hatuongozwi na mwanamke.
Huu mtazamo wako ni wa muda mrefu sana kimsingi tumeuzika kwenye majumba ya makumbusho ya historia kuwa mababu zetu walikuwa hawakubali kuongozwa na akina mama. Thanks CCM - Insenye iraghoye!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…