Tarime: Mahusiano na mapenzi - Usioyajua.......

Wana anza mahusiano wakiwa na umri mkubwa sana kiasi kwamba wanakuwa kama wamechanganyikiwa hivi kwenye mapenzi ndo ninachokijua kwa watu wa tarime
 
Ni Kweli kaka watu wa tarime ni wastarabu sana isipokuwa yanayosemwa mengi ni perceptions za mtu binafsi.Na hiyo ipo kila mahali Duniani .Utaskia Wahaya wako hivi, Wahehe wanajiiiiii,Wagogoo nao Mhiiiii nk So haya ni Maono tiu ya watu hakikisha mwenyewe.Karibu Tarime.
 
Haya mbane,bhatighe.....Nimepa-miss sana Tarime my birth place ingawa last year nilikuwa huko kwa muda wa siku mbili tu.Jaji mkuu mstaafu Nyalali (marehemu) aliwahi kusema wakati anapangiwa kazi mkoa wa MARA alistuka sana lakini akaja kugundua kuwa Mara hasa wilaya ya Tarime ina watu ambao ni open mind -husema kwa uwazi hata kama hupendi.Ukimchukulia mpenzi atakufuata na kukuuliza..haogopi au kukusema pembeni na kama ni kweli nawe ukaficha utaipata habari yake!
 
My be ni nikweli jamani coz nishakuwaga na msichana wa tarime dah alikuwa ananipenda mpaka bac ila 4now kaolewa na msukuma ana kula masato na masangala teh teh teh teh teh
 
Ninafahamu kwa ukaribu wanaume 3 wa Taaarime, mmoja alimuoa dada yangu (I wish asingeolewa naye maana alitaka kumbaka mdogo wetu wa ukoo), wa pili alimuoa rafiki yangu wameshatengana na rafiki yangu anatafuta talaka (full abuse na insecurity kwani ni mwela na mdada ana ilmu na fweza), watatu ni mfanyakazi mwenzetu a real gentleman ingawa akikusimulia story za kaka zake utasikitika!
 
Huwezi kujua ndugu yangu kama umepata mwenye sifa hizo mshukuru Mungu but sidhan kama uaminifu ni kwa wanawake wa tarime tu unabagua
 
mbona hujazungumzia kale katabia chenu cha wanawake wanaoa wanawake wenzao funguka mkuu

Kumbe hii thread inaendelezwa........Inaitwa nyumba ntobhu yaani mwanamke ambaye hakuwahi kupata mtoto na kuachika (soma kuachwa na masimango juu) anatoa mahari kwa wazazi wa msichana hapo kijijini au jirani na kumchukua huyo binti na kuishi naye kama mkamwana (na si mke kama inavyotafsiriwa)....Huyu binti atakuwa na uhru wa kuwa na mpenzi ambaye atazaa naye lakini watoto wanabaki kuwa haki ya huyu mama na mkamwana.

Kamwe hakuna vitendo vya usagaji vinavyotokea kwa sababu binti ana uhuru kamili wa kumchagua mpenzi ila haruhusiwi kuishi nje ya nyumba ya mama.

Lengo la hii ni kumuepusha huyu mama asipate fedheha ya kuonekana hana familia na pia kupata msaidizi wakati umri utakapokuwa umeenda.

Mimi sio mkurya ila nimezaliwa huko.
 
Ninafahamu kwa ukaribu wanaume 3 wa Taaarime, mmoja alimuoa dada yangu (I wish asingeolewa naye maana alitaka kumbaka mdogo wetu wa ukoo), wa pili alimuoa rafiki yangu wameshatengana na rafiki yangu anatafuta talaka (full abuse na insecurity kwani ni mwela na mdada ana ilmu na fweza), watatu ni mfanyakazi mwenzetu a real gentleman ingawa akikusimulia story za kaka zake utasikitika!
Kaunga nazungumzia mabinti......vipi hao
 
Last edited by a moderator:
Ninafahamu kwa ukaribu wanaume 3 wa Taaarime, mmoja alimuoa dada yangu (I wish asingeolewa naye maana alitaka kumbaka mdogo wetu wa ukoo), wa pili alimuoa rafiki yangu wameshatengana na rafiki yangu anatafuta talaka (full abuse na insecurity kwani ni mwela na mdada ana ilmu na fweza), watatu ni mfanyakazi mwenzetu a real gentleman ingawa akikusimulia story za kaka zake utasikitika!

lol... kanda maalum ni kiboko, pole zao
 
Back
Top Bottom