Avatar na Username vinatishaah mkuu!!! Km ulipitia kwa Dr MdachiKuna haja walimu tukaanza kufanya kazi zetu binafi, ili zituweke bize tusiwaze madili ya kusimamia mitihani. Sijui wasimamizi watawatoa wapi na hii tabia yao chafu
Hahah mdachi mshenz yule mzee alitusapusha watu 170/250Avatar na Username vinatishaah mkuu!!! Km ulipitia kwa Dr Mdachi
Hafai huyo kaka!!! ni kubwaah la maaduiHahah mdachi mshenz yule mzee alitusapusha watu 170/250
hujakosea hata kidogo. na mwaka wetu alidaka robo ya dara, kisha akakerisha nusu ya darasa.Avatar na Username vinatishaah mkuu!!! Km ulipitia kwa Dr Mdachi
hujakosea hata kidogo. yeye(Dr. Mdachi), Dr. Mubofu na Prof. Mdoe(kipindi chetu alikua dado ni Dkt); wote wanakula viyoyozi kwasasaNaskia wamemteua kuwa mwenyekiti bod ya mafuta sjui...
geuka, unaitwa kituo cha katiuhakiki wa watumishi wa ccm bado
msamehe. ilikua bahati mbaya tuHahah mdachi mshenz yule mzee alitusapusha watu 170/250
K WW UNAKITWA *****geuka, unaitwa kituo cha kati
Dr Mubofu Mkurugenzi TBS Prof Mdoe ni Naibu Katibu mkuu wizara ya nishati na Madini Dr Mdachi ni Mwenyekiti wa Bodi TPDC ila yupo tu pale Department ukiwa hata practical unamuona afu unasisimka ghafla mzgo unaendelea!!!hujakosea hata kidogo. yeye(Dr. Mdachi), Dr. Mubofu na Prof. Mdoe(kipindi chetu alikua dado ni Dkt); wote wanakula viyoyozi kwasasa
yule mzee sitamsahau. ndio maana nikaamua kuweka kumbukumbu yake kwa username na avator. alinifanya niijue chemistry, hapo awali nilikua nafaulu mitihani tu.Dr Mubofu Mkurugenzi TBS Prof Mdoe ni Naibu Katibu mkuu wizara ya nishati na Madini Dr Mdachi ni Mwenyekiti wa Bodi TPDC ila yupo tu pale Department ukiwa hata practical unamuona afu unasisimka ghafla mzgo unaendelea!!!