PAYE
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 354
- 395
Mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni kupitia CCM, Abbas Tarimba amesema hawezi kukaa kimya atakapoona kuna watu wanamkosea heshima kiongozi wa nchi.
Soma: Tarimba: Wananchi ndio wenye mamlaka yakutoa viongozi
Tarimba ametoa kauli hiyo leo Oktoba 21, kwenye mkutano wa kampeni za mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM , Dk Samia Suluhu Hassan uliofanyika Kinondoni jijini Dar es Salaam.