Tarehe ya kureport chuo

Coster1

Member
Joined
Jul 19, 2016
Posts
48
Reaction score
11
Naomba kuuliza tarehe ya kureport chuo 2016/17 kwa wale watakao chaguliwa
Ahsante
 
Kila chuo kina tarehe yake, ita depend wap, ila huwa haitofautian saaana kupita mwez, sana zinatofautian week 1 au 2 au max 3, na sana huwa week ya 3 ya mwez wa 10, hapo vyuo vingi vinaanza usajili. Hope nimekujibu Japo kwa 50%.
 
Kila chuo kina tarehe yake, ita depend wap, ila huwa haitofautian saaana kupita mwez, sana zinatofautian week 1 au 2 au max 3, na sana huwa week ya 3 ya mwez wa 10, hapo vyuo vingi vinaanza usajili. Hope nimekujibu Japo kwa 50%.
Thanks kaka
 
Kwa kuongezea, tcu wakishakupangia chuo wao kaz yao inakuwa ishaisha, so utakuwa unafanya consultation na chuo husika wao ndo watawandikia kupitia website yao, lin m report, muende na nin na mefanye nin.
 
Kupitia email yako utatumiwa join instruction na chuo ulichochaguliwa
Kuanzia kwenye trh 10 October vyuo vinafunguliwa hasa vya private
 
Mleta Mada sijakuelewa unamaanisha vyuo vipi maana Kuna certificate,diploma na chuo kikuu. Kwa upande wa chuo kikuu Kuna kitu kinaitwa bodi ya mikopo na wao Wana mamlaka ya kupanga tareh ya wanafunzi kuripot chuo. Kumbuka last year vyuo vikuu waliambiwa waongeza tareh za kufungua chuo mpka mchakato wa mkopo kwa wanafunz ukamilika, mwanafunz atakapo enda kuripot basi mkopo wake haukute chuo na siyo kuanza kusubiria HAPA KAZI TU
 
Dah vijana wana ham kweli, nakumbuka na mimi nilikua na mzuka kama hivi miaka miwili iliyopita ila sasa hv hoiii sina hamu tena najuuta kuchagua course ndefu.
Miaka mingap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…