Tarehe ya kuanza masomo kwa academic year 2016/2017 DIT

Tarehe ya kuanza masomo kwa academic year 2016/2017 DIT

Naona unashauku na DIT utachoka mwenyewe! Unaenda chukua kozi gani
 
Aya baba hongera sana ! Karibu dit kisiwa cha kupambana but ukifika tu uliza mwaka huu walio disco wangap mwaka wa kwanza! Nausije tia akilin kwamba dit ni bata ! Juhudi binafsi za hitajika
 
Nakuhusu wanaanza lini diploma just wait watatoa tarehe usiwe na haraka ni chuo chako ila kwa uzoefu mpaka mwezi wa 11ndipo tutatia maguuu kwa hawamu nyengine tena !!!!!!

!!!!! All the best.......….......…
 
Thanx.
 
Back
Top Bottom