Tarehe ya interview UDOM

Tusaidieni na sisi wa vijijini jaman, maana kushuka mjini kwa net ni mara moja kwa wiki, tunaomba mtuwekee link moja kwa moja tuzione hata kwa kutumia phone zetu, wakitoa tarehe ya usaili mtujuze jamani,
 
Tarehe 17 Human resoureces/ Administrative Officer II wanafanya written interview saa nane mchana. Kada nyingine kama Planning Officers, Estate Officers, Library Assistants, Assistant Accountants wanafanya tarehe hiyo hiyo saa tatu asubuhi. Nawatakia Kila la heri kwa wanaofanya Interview.
 
kaka wanaofanya asubuhi wanafanya oral au writen?
 
Back
Top Bottom