Tarehe mpya za usaili sekretarieti ya ajira | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tarehe mpya za usaili sekretarieti ya ajira

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by MAKOLE, Oct 21, 2012.

 1. MAKOLE

  MAKOLE JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 601
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  [FONT=arial,helvetica,sans-serif]Wale wahusika wa hii mambo wapitie pande za tangazo hili

  MABADILIKO YA TAREHE ZA USAILI
  [/FONT] Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawatarifu waombaji kazi kuwa tarehe za usaili zimebadilika kutokana na mabadiliko ya tarehe ya sikukuu ya Eid el Hadjj.
  [h=4][/h][h=4]Aidha, ukaguzi wa vyeti utaanza saa 1:00 hadi 1:45 asubuhi siku ya mtihani wa mchujo. Hivyo usaili utafanyika kama ifuatayo: 1. Usaili wa Mchujo kwa mikoa ya MOROGORO, MANYARA, PWANI, ARUSHA, KILIMANJARO na TANGA utafanyika tarehe 29/10/2012. 2. Usaili wa Mahojiano kwa mikoa ya MOROGORO, MANYARA, PWANI, ARUSHA, KILIMANJARO na TANGA utafanyika tarehe 30/10/2012. 3. Usaili wa Mchujo kwa mkoa wa DAR ES SALAAM utafanyika tarehe 27/10/2012 CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ELIMU (DUCE) - CHANGÂ’OMBE 4. Usaili wa Mahojiano kwa mkoa wa DAR ES SALAAM utafanyika tarehe zilizopangwa awali (01/11/2012 na 02/11/2012) na utafanyika katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira zilizoko Maktaba ya Taifa barabara ya Bibi Titi Mohamed Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
  [/h]
   
 2. Matokeo1

  Matokeo1 JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 10, 2012
  Messages: 228
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Tunashukuru mkuu walioitwa kazi kwao, wenzangu na mimi tuendelee kuomba Mungu ipo siku nasi tutaitwa.
   
 3. S

  SAGANKA JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2012
  Joined: Jun 9, 2012
  Messages: 313
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Unaweza kupost majina ya walioitwa,na zilikuwa nafasi za kzi gani?
   
 4. M

  MR.LEO Senior Member

  #4
  Oct 22, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 129
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tembelea website yao mkuu!
   
 5. m

  mafanikio Member

  #5
  Oct 24, 2012
  Joined: Jul 23, 2009
  Messages: 51
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 15
  ninashukuru sana mkuu kwa kunijuza ila kwa wale wenzangu na mie majina yako kwenye tovuti yao ambayo ni www.ajira.go.tz na wanaanza usaili wa mchujo jumamosi tarehe 27/10/2012 na wametoa majina kwa dar es salaam pekeyake ni zaidi ya watu 2000 acha wa mikoani, na ninasikia wataendelea kutangaza watu wanaoitwa kwenye usaili ila kwa awamu naona wameanza na kada za chini yaani assistant officers. hivyo kwa wale waliokuwa wameomba kada nyinginezo nimesikia tuendelee kusubiri watazitangaza karibuni baada ya kumaliza kuwasaili hawa, haya maelezo nimeyapata baada ya kufuatilia huko kwa watumishi wao. niwatakie kila lakheri walioshaitwa kwenye usaili. Mungu awatangulie.
   
Loading...