Mwalimu wangu wa kiswahili shule ya msingi alinifundisha neno hili linatumika mara nyingi kama unaagana pasipo majaaliwa ya kuonana Tena, mfano unaenda vitani.
Tarehe 9 Desemba nitaungana na wale wote wanaotaja kumng'oa mkoloni mweusi anayejificha kwa kivuli Cha Ccm.
Nitashiriki kikamilifu kuipambania Tanganyika safari ambayo inaweza kusitisha uhai wangu au kunipatia kilema Cha kudumu.
Nakwenda bila kushawishiwa na mtu bali kwa mapenzi yangu kwa Tanganyika na kuondoa usultani uliojitokeza.
Aluta Continua