Heri ya mwaka mpya wapendwa. Napenda kuwakaribisha kwenye harusi yangu kiroho safi, ifikapo tarehe tajwa hapo. Itafanyika Mwanza ukumbi wa bwalo la jeshi. Karibuni sana.
heri ya mwaka mpya wapendwa.napenda kuwakaribisha kwenyeshe harusu yangu kirohosafi,ifikapo tarehe tajwa hapo.itafanyika mwanza ukumbi wa bwalo la jeshi.karibuni sana.
Naona una mpango wa kukoga maji ya povu ndio mana ukakimbilia Ukumbi wa jeshii.. Any way sio mbaya inaelekea mwenye kiti wa kamati alikuwa ana focus mbele on bajet ya vinywajii ... I ought to be ther nitaingia na ukaribisho wa wakwee