road master
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 2,064
- 3,021
Hapa aisee hilo in tango mwitu22500+ 20% ya kiwango kinachozidi 270,000
Mfano:
mwenye mshahara wa 520,000
520,000- 270,000= 250,000
20% ya sh. 250,000= 50,000
Kwahyo inakua 22,500+50,000= 77,500
Hivyo,
Kwa mshahara wa 520,000 atakatwa Kodi ya sh. 77,500
Akikujibu utanistua nipo mahali nakunywa pombe za kienyeji bia siwez tena Ila mm ni civil servant permanent and pensionableKama atakatwa Kodi ya 77,500 mwanzoni alikuwa anakatwa ngapi? Ili tujue kama hao watumishi mmewasaidia au mmezidi kuwaumiza?
Mimi nina gross ya 10+ m baada ya calculation mpya ya Kodi kwenye take home yangu imeongezeka elfu 51 tuLeo ni tarehe 19 ya mwezi wetu pendwa wa 7 kwa watumishi wa umma,kuna badiliko lolote?
Sio hana time !! Hana uwezo wa kuongeza mishahara huo ndio ukweli hata hiyo miradi ni mikopo mitupu subiri utaona itakavyo collapse ni mbwembwe tuuuuuDah kama ni hivyo basi hii ni danganya toto, kweli magu hana time na watumishi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Una gross ya 10+milion??? Acha utani mzee hicho mm ndo kiinua mgngo changuMimi nina gross ya 10+ m baada ya calculation mpya ya Kodi kwenye take home yangu imeongezeka elfu 51 tu
Mkuu hebu na wewe uwe na shukrani ,mbona Watumishi wamevumilia kipindi kirefu tu,Miaka mitano wamevumilia,wamekuwa km kondoo anayepelekwa machinjioni,sasa unataka wafanye nin?.Kueni wazalendo watumish wa Umma, Kuna mambo mengi ya kufanya zaidi ya hiyo mishahara yenu
Mkuu Mimi nipo private sectorUna gross ya 10+milion??? Acha utani mzee hicho mm ndo kiinua mgngo changu
Halafu mabadiliko haya utakuta ni kwa muda tu.Hapa aisee hilo in tango mwitu
22500+ 20% ya kiwango kinachozidi 270,000
Mfano:
mwenye mshahara wa 520,000
520,000- 270,000= 250,000
20% ya sh. 250,000= 50,000
Kwahyo inakua 22,500+50,000= 77,500
Hivyo,
Kwa mshahara wa 520,000 atakatwa Kodi ya sh. 77,500
Mm sijadharau mzee. Naongea ukweli maana nishafanya hizo deiwakaAcha kudharau
Sina dharau bob. Mm mwenyewe nishapakia makreti ya coca semi tatu kwa siku kila siku hivyo naelewa maisha.Acha dharau kiongozi. . Mwisho wa siku kila mtu anaendesha maisha yake kwa majaliwa ya Mungu....
Aisee siamini ni kampuni gani hiyo???so kweli bwanaMkuu Mimi nipo private sector
Anual increment sio Msaada wala offer ni haki,,, ukimnyima stahiki yake mtumishi wa umma tegemea kuzorota kwa huduma yake kwa jamii,,na kuongezeka kwa vitendo vya Rushwa ...MWANANCHI ndo mhanga wa yote.. Asiongeze tu make tangu tustuke 2017 tufanya hivi masaa 4 kazini yanayo baki,, mtaani kusaka Riziki ,,, TUNA obey "Le chateries principle"Kueni wazalendo watumish wa Umma, Kuna mambo mengi ya kufanya zaidi ya hiyo mishahara yenu
Wew ndio ujaelewa lakini hiyo ndio hesabu sahiiHapa aisee hilo in tango mwitu
Mwanzo PAYE ya level ya mshahara huo ilikua 98000 na pointi zake kwa sasa ni 77,500 ukichukua 98,000 -77,500 = 25,000 tupo sawa hapoAkikujibu utanistua nipo mahali nakunywa pombe za kienyeji bia siwez tena Ila mm ni civil servant permanent and pensionable
Si mipaka ya magereza iliyozungukwa na katani?Askari Magereza wa huko kwenu ndio wanaolinda mipaka ?