Tarehe 19 leo payroll zinasomaje?

Mwendo ni kujilipa tu.
Serikali inajinadi imerudisha nidhamu kwa watumishi lakini haijinadi kuwa imeboresha maslahi ya watumishi.
June 30 , 2020 nimetimiza miaka 5 katika utumishi wangu silijui daraja jipya.
Abarikiwe JK, June 30, 2015 naajiriwa , naripoti kazini August nakutana na mshahara mpya kabisa.
Kwa nini nisimuombee maisha marefu JK?
 
We are the same bro.
 
Uko sahihi mkuu
 
22500+ 20% ya kiwango kinachozidi 270,000

Mfano:
mwenye mshahara wa 520,000
520,000- 270,000= 250,000

20% ya sh. 250,000= 50,000

Kwahyo inakua 22,500+50,000= 77,500

Hivyo,
Kwa mshahara wa 520,000 atakatwa Kodi ya sh. 77,500
Kama atakatwa Kodi ya 77,500 mwanzoni alikuwa anakatwa ngapi? Ili tujue kama hao watumishi mmewasaidia au mmezidi kuwaumiza?
 
Zito haongeleaji vitu vyakijinga hivyo yani baada ya miaka mitano unampunguzia mtumishi kodi ili angalau ka take home kaongezeke hala unasifia!?? Kaongezeko kenyewe ni roughly 20000/ you must be a gay
 
22500+ 20% ya kiwango kinachozidi 270,000

Mfano:
mwenye mshahara wa 520,000
520,000- 270,000= 250,000

20% ya sh. 250,000= 50,000

Kwahyo inakua 22,500+50,000= 77,500

Hivyo,
Kwa mshahara wa 520,000 atakatwa Kodi ya sh. 77,500
Dah kama ni hivyo basi hii ni danganya toto, kweli magu hana time na watumishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…