figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 26,662
- 59,100
Kesi ya Tundu Lissu ya uhaini imesikilizwa leo Mahakamani Kuu, lakini hakuna uamuzi wa mwisho uliotangazwa hadi sasa. Upande wa mashtaka bado una shida ya kuleta mashahidi, hivyo kesi inaendelea na Lissu yuko rumandeni.